Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

Mmmh! Mbona zali hiyo dem mzuri kukufuatilia unajua ni jambo gumu sana maana soko lao ni kubwa
Soko kubwa sana akiwa amesitiriwa na mwamba sio awe peke yake kijana wangu..

Ujue mimi nasubiri akili yako ikue kue kisha nikutumie nondo zingine PM lakini kila nikisoma comments zako najikuta nasema nisubiri labda mwakani
Ndipo nitakushushia nondo za kufa mtu..
 
Karibu sana.

Kaka tusiwe waumini sana wa kuacha wapenzi simply kacheat. Utaacha wangapi kaka maana Kwa uzoefu mdogo tu nilioupata kucheat ni inevitable kwa jinsi zote. Kikubwa muueleze ukweli mwanamke wako juu ya athari za kucheat walau aone haya kufanya hivo. Wakati huohuo nawewe punguza au achakabisa kucheat.
Ni ushauri mzuri sana, ila kama tumefikia hatua ya Cheating kuwa inevitable kwa both sides nafikiri maswala ya ndoa kwa sasa tusiyape nafasi badala yake watu waishi kama partner kwa maslahi ya malezi bora kwa watoto
 
Ni ushauri mzuri sana, ila kama tumefikia hatua ya Cheating kuwa inevitable kwa both sides nafikiri maswala ya ndoa kwa sasa tusiyape nafasi badala yake watu waishi kama partner kwa maslahi ya malezi bora kwa watoto
Umefanya nicheke kidogo hapa. Tukifanya hivyo tutahalalisha zinaa. Hahaha! Umewaza poa ila Mungu ana Sheria zake usisahau.
 
Umefanya nicheke kidogo hapa. Tukifanya hivyo tutahalalisha zinaa. Hahaha! Umewaza poa ila Mungu ana Sheria zake usisahau.
Mkuu sheria zipo ila watu wafanya sheria ya kufunga ndoa na nawaivunja kwa kuanzisha au kuendeleza uzinzi na watu wengins nje ya ndoa, sasa si ni bora watu waache unafiki waishi uhalisia
 
Habari za weekend wakuu.

Tuendelee 05

Alivomalizia Ile statement nikaamua niimpigie Nailah palepale. Mimi kwa ukali " Habari ya asubuhi". Nailah akaitika kwa kijihofu flani " safi.. mambo!". Sikujali Ile 'mambo' nikaendelea, " unanitumia meseji asubuhi hii unashida gani..kwani tunamahusiano?". " Heeh! jamani kwani Kuna ubaya kukusalimia....hata kama hatuna mahusiano salam nayo hutaki!!??".
Kwa tone ileile ya ukali nikaendelea " hata kama ni salamu ndio mapema hivi kana kwamba umepatwa na tatizo...Asee sipendi". Nikakata simu.

Muda huo wote simu ilikua loud speaker hivyo Recho anasikia yote. Baada ya kukata simu nikamwambia "nadhani umemsikia, Sina mahusiano ni yeye tu ". Hapo napo nikaelewa wanawake wana wivu sana. Recho " Z hata kama ningekua ni mimi, kwa sauti hiyo ya ukali unadhani ningekubali tuna mahusiano...Huyo ni demu wako tu".

Alivomalizia tu nikamshika shingo na kumla mate katika hali flani sio romantic ila rough nikaenda mbali zaidi nikaweka cha asubuhi kisha nikaamka bafuni kuoga niondoke. Wakati natoka mlangoni akaniambia. "Z umenit*mba sawa lakini hatujamalizana". Sikujali sana nikaondoka.

Kama umefatilia vizuri toka mwanzo Mimi sio muongeaji sana. Hata katika majibishano mara nyingi sikua najibu au kujenga hoja. Usije sahau mpaka Recho ananivulia chupi sikuwahi kusema au kuandika neno I LOVE YOU. Nilipita tu na gap la Upweke.

Hapa tuwatetee wanawake kidogo. Kumbe anaweza akacheat si kwa tamaa za mali au muonekano wa mtu lah hasha! bali mazingira yanayo mzunguka kwa wakati huo.

Sasa tuendelee, Kumbe Recho alimaanisha kwa Ile kauli yake kwamba hatujamalizana. Siku hio hakupiga simu, kupokea simu wala kujibu sms zangu. Siku ikakata, kesho yake pia. Siku hio ya pili nilienda jioni kumuona baada ya kutopokelewa simu. "Shida nini hupokei simu zangu wala hujibu sms?". Nikauliza baada ya salamu. Recho " umenikwaza sana, Yani unanikosea na bado unanilala... Z kipindi tunaanza mahusiano nilijiridhisha wewe sio mtu wa wanawake wengi..ila sasa imani yangu inaanza kushuka."

Akaendelea, "Nambie ukweli yule ni nani kwako, bado hainiingii akilini mmeachana na akutext asubuhi".
Nilivoona yupo serious ikabidi nifunguke kwa mara ya kwanza maneno kibao na kwa udhaifu mkubwa wa kihisia. Alionekana kunielewa lakini nilifanya makosa makubwa sana kufanya vile.

Msomaji, nilijifunza mwanamke kabla hajakusoma vizuri au kabla hajajiaminisha unampenda kweli au una mtamani, atakua humble na submissive sana. Ukiwa na roho ya kifirauni hata duka anaweza kukupa ufungue wewe.

Hapa wakubwa wameelewa nini namaanisha. Ila punde akishajiridhisha pasina shaka wewe ni wake na yeye ndio udhaifu wako alooh! Mambo hubadilika. Sio kwamba anakutoa moyoni hapana. Anaanza maisha ya maozea. Utanielewa tu.

Pamoja na yote tuliyoongea na Recho hio siku aliniambia anaumwa, na alihisi huenda ni malaria. Nikamshauri akapime kwanza then atumie dawa lakini alikataa. "Kuna dawa nimeelekezwa na dada asubuhi hua inatibu mambo mengi nitaitumia hiyo".

Hapa tuelewe, Recho alikua na dada yake wa damu ambaye wana wasiliana sana. Huyu dada yake kamtangulia kwenye ndoa, yani alianza dada kuolewa ndio akafata Recho.

Alinitajia jina la hio dawa, sikuona sababu ya kusubiri nikawai chap kumchukulia duka la dawa baridi. Alinambia angeanza kumeza usiku muda wa kulala , sikuona mbaya nikaondoka.

Sasa kutoka hapo simu zikapokelewa na sms nikaanza kutumiwa na kujibiwa kwa mara ingine. Usiku saa 4 alinitext " Babaa nahisi home kali ani hata kupika nimeshindwa". Chap nikampigia, "pole mamaa...dah! Zile dawa umemeza?". "Ndio nimemeza kama nusu saa hivi...nahisi ni kali maana nimetapika na hata nguvu Sina".

Fasta nikaaga home naenda nunua voucher. Niliwahi duka moja ambalo najua wanafunga saa nne au tano kasoro. Kwa bahati palikua wazi, nikachukua maziwa fresh ya box na cake kadhaa uelekeo kwa Recho.

Kweli nilikuta ana hali mbaya. Nikamuliza dogo vipi akasema alimuagizia chips kwahio kala na amepumzika . Ikabidi niwe muuguzi kwa muda kidogo, chemsha maziwe chap tukaanza kubembelezana kula sasa. Of course alijitahidi kugusagusa. Nilitamani kusalia pale lakini huo uwezekano haukuwepo.

Baada ya nusu saa nikamuaga ila nikakumbuka huu mwezi sijasikia kabisa habari za Simba wanacheza. Nikamuliza "Vipi mwezi huu hujaenda Space?" Hio ni code nilikua natumia kumuuliza habari za hedhi. "Em acha kunipa presha mimi.. ndio tarehe zenyewe ila sidhani kama naumwa sababu ya period!".

Nikamwambia "ooh! Poa kesho nakuletea kipimo cha mimba". Akaniwaii "weeeh!! babaa acha kabisa. Tena usiombe na hata nikipima siwezi kukwambia". Tukacheka kisha nikawai home nisije ibua mjadala wa kulala nje.

Kulivokucha nikampigia simu akapokea. "Morning Dady" alianza hivo Recho. Mimi " Yes morning, Unaendeleaje mwanamke wangu". "Sio mbaya sana ila hizi dawa naona niziache tu...sioni haueni". Nikamwambia "Poa badae ntakuja kukuona". Akajibu " Sawa karibu daktari wangu kwanza nimeshakumiss".

Saa 5 asubuhi simu ya Recho ikaingia, " Mambo my love". Mimi " fresh tu vipi maendeleo". Recho "Mnh! Njoo nyumbani now.......Kuna niii?
 
Back
Top Bottom