Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana halisi kwamba The CIA is everywhere.kwa ninavyoona mimi viongozi wengi wa Africa na mabara mengine ni majasusi wa Marekani a.k.a ( chawa)
Wewe ni detective wa wapi?huyo buhari kashindwa pambana na magaidi wanaijeria wamekua matapeli maisha magumu.bora hata mugabe alikua anachinja tembo watu wanakula supuIshu si kuwa majeuri, ujeuri huo ulisaidia nchi na wananchi au ulididimiza wananchi katakanumaskini wa kutupwa?
Unaweza kuwa na msimamo lakini usiwaumize wananchi
Mugabe self made.he made himselfNa jiulize nani alimtegeneza Robert Mugabe, ndo utajua kuwa mentors wake wenye utu na uchungu wa bara hili la Afrika walikuwepo.
Soma historia.Mugabe self made.he made himself
Inaitwaje mkuu hii documentary?Aljazeera.com documentary zake zote zipo YouTube na ndio channel yangu ninayo ikubali kwa habari za kimataifa hasa za Middle East.Juzi nimetoka kutizama Documentary moja maarufu wa uuzwaji wa dhahabu ya Zimbabwe na nishatizama nyingi sana.
Inaitwaje mkuu hii documentary?
Kulinganisha na nini au taasisi gani mkuu?CIA is overated..!