Hivi ndivyo Viwango vya Sauti vinavyokubalika na "NEMC"

Kunyanduana Ni DB ngapi
 
Sijaona decibel za makanisa ya kilokole[emoji848]
 
Naona jinsi watu hawajui kupima dba sababu dba ina husishwa na umbali ukipima dba ukiwa mita 2 toka spika ilipo na ukapima mita 20 toka spika ilipo lazima majibu yatofautiane sasa ni umbali gani unahitajika ili kupata kipimo sahihi? Nadhani mnajua hata kama umefungulia mziki sauti ya chini akiingia umo ndani ambapo wapo wanywaji lazima atasema sauti ipo juu sababu yupo karibu na chanzo.

Inawezekana hata hizo baa walizofungia walienda kuppima dba humohumo baa badala ya kwenda kupima kwenye makazi ya watu ili ijulikane hiyo sauti inafika kwenye hayo makaazi ya watu? Ambao wanakereka na hizo kelele badala yakwenda kupima huko baa sehemu ambayo waliopo hawakereki na hizo kelele.

Hiyo dba 35 hata mtu akikoroma au wakilana inazidi hapo hata chura akifoka inazidi .
Pia hawajatoa elimu juu ya hizo dba maana wangekosolewa na kuonekana hawana akili .

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Nice Explanation SirπŸ‘πŸ‘
 
Ha ha ha, nikimchoma nafsi yangu itanihukumu maana mzee mwenyewe ndio kijiwe anategemea, ameshastaafu tangu kuamka hadi kulala hana mishe nyingine zaidi ya grocery alafu haichanganyi sana.
Mbali na mambo ya ku-report, but itakusaidia pia pale unapotaka kuanzisha miradi ya kimkakati kupitia Environment Impact Assessment (Tathmini Ya Athari Kwa Mazingira).
 
Hapa kijijini bitaraguru hizo decibel nazipimaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…