Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
- Thread starter
- #21
๐๐๐๐Utapimiwa kama unavyopimiwa ukizidi spidi kwenye gari yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐Utapimiwa kama unavyopimiwa ukizidi spidi kwenye gari yako
Wapigie NEMC upate pesa ya chap chapNipo grocery hapa naona kitu inasoma 98 hado 102
Ha ha ha, nikimchoma nafsi yangu itanihukumu maana mzee mwenyewe ndio kijiwe anategemea, ameshastaafu tangu kuamka hadi kulala hana mishe nyingine zaidi ya grocery alafu haichanganyi sana.
Tubafanana. Muziki unataka utulivu kusikiliza.Kwa Kweli sipendi makele yoyote ya miziki napenda mziki ila wa taratibu snaa.
Ita NEMC waje wawatie mafuta ya taa hapo wanyooke.View attachment 2614762
Wamenifanya hadi ni download upya app. Hapa ni sebuleni Nipo nje ya mji peke yangu. Ni vyura ndio wana piga kelele hapo. No tv Au radio.
Hii ina cost kama MB ngap Sir?![]()
Sound Meter - Apps on Google Play
Measure the environmental noise by tidy sound meterplay.google.com
Hiyo hapo
4MBHii ina cost kama MB ngap Sir?
Umeshaifanyia practice ya jinsi inavyofanya kazi.
Kunyanduana Ni DB ngapiSafi sana. Inabidi bar ziwe sound proof kabisa. Na kama ni za wazi inabidi ziwe kimya kama chumba cha mtihani.
Na nemc waanze kukamata majirani wanaopiga kelele hasa mida la kula mzigo na kunyanduana. Wanakuwa na makelele mengi na milio mingi na pwapwapwapwa za nguvu sana yaani kelele nyingi mno sisi tunashindwa kulala.
Makazi Mchanganyiko ni dBA 45Kwenye nyumba za kupanga ni dbal ngapi?
Nice Explanation Sir๐๐Naona jinsi watu hawajui kupima dba sababu dba ina husishwa na umbali ukipima dba ukiwa mita 2 toka spika ilipo na ukapima mita 20 toka spika ilipo lazima majibu yatofautiane sasa ni umbali gani unahitajika ili kupata kipimo sahihi? Nadhani mnajua hata kama umefungulia mziki sauti ya chini akiingia umo ndani ambapo wapo wanywaji lazima atasema sauti ipo juu sababu yupo karibu na chanzo.
Inawezekana hata hizo baa walizofungia walienda kuppima dba humohumo baa badala ya kwenda kupima kwenye makazi ya watu ili ijulikane hiyo sauti inafika kwenye hayo makaazi ya watu? Ambao wanakereka na hizo kelele badala yakwenda kupima huko baa sehemu ambayo waliopo hawakereki na hizo kelele.
Hiyo dba 35 hata mtu akikoroma au wakilana inazidi hapo hata chura akifoka inazidi .
Pia hawajatoa elimu juu ya hizo dba maana wangekosolewa na kuonekana hawana akili .
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mbali na mambo ya ku-report, but itakusaidia pia pale unapotaka kuanzisha miradi ya kimkakati kupitia Environment Impact Assessment (Tathmini Ya Athari Kwa Mazingira).Ha ha ha, nikimchoma nafsi yangu itanihukumu maana mzee mwenyewe ndio kijiwe anategemea, ameshastaafu tangu kuamka hadi kulala hana mishe nyingine zaidi ya grocery alafu haichanganyi sana.