Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyoandaliwa chakula

Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyoandaliwa chakula

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyo andaliwa chakula safi huwa hatunaga tabia za kujazana kwenye magenge ya chipsi na soseji kama wanaume wa dar!
IMG_20160812_131138.JPG
1470995684952.jpg
 
Naiona hapo nyumba ya mikoani,Mikoani kuna nyumba nzuri sana hongereni wanaume wa mikoani mnajua kujenga nyumba nzuri.
 
Mwanaume wa dar huyo samaki tu hamalizi
Huku Dar samaki analiwa upande wa kwanza, halafu tunamgeuza upande wa pili.

Huyo mama haonekani kama mwanamke wa shamba, hiyo ni hapa Dar na hizo ndio style zetu. Shida yenu mkimuona Diamond kwenye mabanda mnakoenda kuangalia 'fideo' mnadhani hao ndio wanaume wa Dar. Ukitaka kutuona wanaume wa Dar, njoo Dar na mkeo akiwa ameoga...hatufai!
 
Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyo andaliwa chakula safi huwa hatunaga tabia za kujazana kwenye magenge ya chipsi na soseji kama wanaume wa dar!View attachment 380237 View attachment 380221
Huu msosi umeandaliwa kiushabiki.

Mrenda na matembele???
Samaki na Dagaa?!!!
Kaugali kama ka mtoto wa primary?!!!
Maharagwe na maziwa??!!!

Nendeni mkajipange, shoo za mjini hamziwezi
 
Wanaume wa dar (vepeee mmeona. Hiyoo muache kujipodoa na kunukia kama majini na party za birthday muwaachie wanawake)
 
Back
Top Bottom