Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Aya umeandika sana, nenda ukale chips yai na fantaHuku Dar samaki analiwa upande wa kwanza, halafu tunamgeuza upande wa pili.
Huyo mama haonekani kama mwanamke wa shamba, hiyo ni hapa Dar na hizo ndio style zetu. Shida yenu mkimuona Diamond kwenye mabanda mnakoenda kuangalia 'fideo' mnadhani hao ndio wanaume wa Dar. Ukitaka kutuona wanaume wa Dar, njoo Dar na mkeo akiwa ameoga...hatufai!