Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyoandaliwa chakula

kwanini wanaume wa dar wanavaa vijinsi vinavyobana alafu wanapaka rangi kucha, wanajichubua, ??

Hujajibu swali mwanaume dar, UTASAKAJE PESA KAMA HUJALA CHAKULA CHA MAANA (so chips yai na fanta)??
Dah, watu wa kijijini wabishi nyie! Nimekwambia hivi, huku Dar ndio kusanyiko kuu. Kila utakachokifanya Dar basi tutasingiziwa sisi. Jamani eeh, Dar kuna wanaume na wahamiaji. Sisi tuliozaliwa Ocean Road ndio wanaume wa mji huu, hawa watoto wa rangi mbili na kuvaa hereni ni matokeo ya nyie watu wa mashambani kuja kuzalia Aga Khan mkishauza mbaazi zenu na kufikiri mnawapenda watoto wenu kuwazoesha chips.

Hivi, unajua kkutofautisha mwanaume na mvulana?
 
Kuna jamaa alitoka sijui tanga au dar kama sikosei.khaaa jamaa kuvunja tu biskuti hawezi hadi ilowekwe!yaani hadi nilimuuliza kama ana nguvu hata kujisaidia chooni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
NIMEIPENDA SANA SANA HII Nyerere 11 IMENIKUMBUSHA MWAKA 1980!.
1471093605201.jpg
 
Dah, watu wa kijijini wabishi nyie! Nimekwambia hivi, huku Dar ndio kusanyiko kuu. Kila utakachokifanya Dar basi tutasingiziwa sisi. Jamani eeh, Dar kuna wanaume na wahamiaji. Sisi tuliozaliwa Ocean Road ndio wanaume wa mji huu, hawa watoto wa rangi mbili na kuvaa hereni ni matokeo ya nyie watu wa mashambani kuja kuzalia Aga Khan mkishauza mbaazi zenu na kufikiri mnawapenda watoto wenu kuwazoesha chips.

Hivi, unajua kkutofautisha mwanaume na mvulana?

=kutofautisha

Mwanaume wa dar naona hujui hata kuandika!!
 
Kumbe nawe unajua kusonga ugali eeh! Bomba sanaaa

Dar mbona haya tunayafanya sana mkuu, tena kuni tunapata usuani ambako hawajui kuzitumia, wakipunguza michongoma wao wanaona taka, sisi kwetu ni nishati.
 
Shukrani sana lazima nitinge kuja kuonja mapishi yako, ila ugali shurti uwe mkubwa siyo ule wa kuishia kwenye meno.
Kwani wewe Msukuma? Usukumani mkikaribishwa ugali haumoanani ni ka mlima kanawekwa juu ya meza.
 
Huwezi jua Sky Eclat , mie ugali wangu shurti kwa mlima halafu sitaki maongezi wakati niko kazini nafanya yangu ili kuushusha mlima.

Kwani wewe Msukuma? Usukumani mkikaribishwa ugali haumoanani ni ka mlima kanawekwa juu ya meza.
 
Majitu ya kijijini shida sana.
I see!!! karib kijiji mwanaume wa dar!!

Ukiona mtu kaandika namna hiyo, hiyo ni error sio mistake.
Which means you're not serious!! is that right mwanaume wa dar?? i bet ulikua unaandika ukiwa umejipaka losheni hhehehee!!!
Hujajibu swali langu mshamba. Umewahi kufika Dar?
Why do i need to answer this question mwanaume wa dar???
 
I see!!! karib kijiji mwanaume wa dar!!

Which means you're not serious!! is that right mwanaume wa dar?? i bet ulikua unaandika ukiwa umejipaka losheni hhehehee!!!

Why do i need to answer this question mwanaume wa dar???
Poa. Nenda ukalale asubuhi uwahi kupalilia migomba ili kwamba ndizi zisipungue huku mjini tukashindwa kula nyama choma. Sawa jembe?

By the way, losheni ndio kitu gani?
 
Call me upepo wa pesa....au mwanaume wa mkoani!! whatever suits you!!
 
Kuna jamaa alitoka sijui tanga au dar kama sikosei.khaaa jamaa kuvunja tu biskuti hawezi hadi ilowekwe!yaani hadi nilimuuliza kama ana nguvu hata kujisaidia chooni
Wanaume wa mikoani kwanini mnanuka midomo?
 
Back
Top Bottom