Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyoandaliwa chakula

Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyoandaliwa chakula

Tabora wanaume wameharibika na tumbaku...kina mama wa huko tuko nao Dar tunawahudumia.

Rombo kwisha habari, wao wanakodi wanaume Kenya, hii hata kwenye kumbukumbu za Bunge ipo.

Arusha wamezaliwa na maradhi, ndio maana saa zote wanakula mikongoraa. Bila kula booster kila mtu ni kaka na dada

Mtwara na Tanga ni sawa na Dar, wanaume wapo...salam aleikhum kwa watu wa pwani.

Kanda maalum Tarime na Rorya huku ndio wanaume wa kijijini wanaweza kunyoosha kidole...isingekuwa kizazi hiki saa hizi kina Ruttashobolwa wangekuwa wameolewa wote na NDULI.

Sasa nyinyi watoto msio na adabu, kila kuitwapo leo mnabana pua wanaume wa Dar, wanaume wa Dar, lini mlisikia Dar tunaagiza mikongoraa ili tuweze kulala na wake zetu?
 
Huo msosi wa kwenye meza ni kwa bi mkubwa mmoja Mama Ally pale dodoma mkuu
 
na mwanaume wa kweli hasifiwi kula chips kavu na fanta orange!!! by the way ukila chips nusu sahani na fanta nusu utapata wapi umakini wa kuzisaka pesa?? kula kwanza upate nguvu then u make money!!!! come on dude!!
Kumbe wamikoani mnajua mpaka slang words.......dude!!!
 
Back
Top Bottom