Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyoandaliwa chakula

Naiona hapo nyumba ya mikoani,Mikoani kuna nyumba nzuri sana hongereni wanaume wa mikoani mnajua kujenga nyumba nzuri.
 
Mwanaume wa dar huyo samaki tu hamalizi
Huku Dar samaki analiwa upande wa kwanza, halafu tunamgeuza upande wa pili.

Huyo mama haonekani kama mwanamke wa shamba, hiyo ni hapa Dar na hizo ndio style zetu. Shida yenu mkimuona Diamond kwenye mabanda mnakoenda kuangalia 'fideo' mnadhani hao ndio wanaume wa Dar. Ukitaka kutuona wanaume wa Dar, njoo Dar na mkeo akiwa ameoga...hatufai!
 
Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyo andaliwa chakula safi huwa hatunaga tabia za kujazana kwenye magenge ya chipsi na soseji kama wanaume wa dar!View attachment 380237 View attachment 380221
Huu msosi umeandaliwa kiushabiki.

Mrenda na matembele???
Samaki na Dagaa?!!!
Kaugali kama ka mtoto wa primary?!!!
Maharagwe na maziwa??!!!

Nendeni mkajipange, shoo za mjini hamziwezi
 
eti ugali mdgo? huo ugal unatosha mboga nayo inatosha safi sana
 
Wanaume wa dar (vepeee mmeona. Hiyoo muache kujipodoa na kunukia kama majini na party za birthday muwaachie wanawake)
 
Hehehe uchokozi
Kuna wengine hawajakiona kitonge mkuu
Unawapa udenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…