Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyoandaliwa chakula

Aya umeandika sana, nenda ukale chips yai na fanta
 
Kila siku kazi ya kujisifia kula tu badala ya kujisifia michongo ya hela... Mnatudhalilisha wa mikoni wenzenu!! Mwanaume wa kweli hasifiwi kula... weka bank statement wamikoani VS wadar
 
mpishi hana viashiria vyovyote wa kuwa wa Mikoani.........😀😀😀...
 
Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyo andaliwa chakula safi huwa hatunaga tabia za kujazana kwenye magenge ya chipsi na soseji kama wanaume wa dar!
View attachment 380237 View attachment 380221
Tuwasaidie vema vijana wa vilaini wasiaibishe Taifa papuchi zikaruka nje ya nchi...dawa nikuwapigia mashine papuchi zao tu hadi wabadilike wanajijua utaona wakija hapa.
 
Kila siku kazi ya kujisifia kula tu badala ya kujisifia michongo ya hela... Mnatudhalilisha wa mikoni wenzenu!! Mwanaume wa kweli hasifiwi kula... weka bank statement wamikoani VS wadar
na mwanaume wa kweli hasifiwi kula chips kavu na fanta orange!!! by the way ukila chips nusu sahani na fanta nusu utapata wapi umakini wa kuzisaka pesa?? kula kwanza upate nguvu then u make money!!!! come on dude!!
 
Ni nyie mliozaliwa mashambani ndio mkija huku mnafakamia chips kuku na mayai, sisi wazawa wa Ocean Road hivyo vitu tunanunulia mademu zetu na wake zenu wakija mjini ili warukwe akili tumege.

Hivi kwa akili yako, matenga ya kuku wa kienyeji mnayopakia kuja huku mjini na ng'ombe zenu nyie wakulima unadhani vinasafirishwa nje? Tunakula dona na nyama choma. Chips kuku ni kwa ajili yenu na mahausgel tunaowaagiza kutoka huko kwenu. Karibu mjini jembe
 
...mwanamke wa mkoani akija dar hata akiwa mke wa tajiri wa mkoa huku analiwa na muosha magari tu....
 
kwanini wanaume wa dar wanavaa vijinsi vinavyobana alafu wanapaka rangi kucha, wanajichubua, ??

Hujajibu swali mwanaume dar, UTASAKAJE PESA KAMA HUJALA CHAKULA CHA MAANA (so chips yai na fanta)??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…