Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyoandaliwa chakula

Mtt mzuri kama huyo kukaa mikoani ni kumtesa tu aje town apikie gesi..
 
Kila siku kazi ya kujisifia kula tu badala ya kujisifia michongo ya hela... Mnatudhalilisha wa mikoni wenzenu!! Mwanaume wa kweli hasifiwi kula... weka bank statement wamikoani VS wadar
Tatzo mikoani wengi wao wanaweka kwenye vibubu
 
Mwanamke huyo duh...

Nywele, chawa, mba, vipodozi vyote vinadumbukia kwenye chakula na kuchanganyika mnakula

Kuwanunulia viti/vigoda vya kukalia ni hamna pesa, kweli mnaumiza wake zenu. Roho mbaya matumbo mbele tu utafikiri mnawakanda mwishonwa siku, kumbe laaaaa hakuna kitu
 
Kutamanishana tu Hahhaha hao dagaa imekuja harufu kwenye ubongo
 
Msosi wa ukweli...uwiiiiii!
Kesho na mimi nipike kitu cha ugali na samaki kwa mlenda[emoji39][emoji39][emoji39]
 
sasa dagaa na samaki wajameni
na mlenda na tembele

the food looks good tho, sio ugali na supu niliyoonaga humu
 
hongereni,siku hz wanawake wenu,wana weka dawa nywele kama wetu wa dar,
 
Hahahahahaha stori za bunuasi
 
Kila siku kazi ya kujisifia kula tu badala ya kujisifia michongo ya hela... Mnatudhalilisha wa mikoni wenzenu!! Mwanaume wa kweli hasifiwi kula... weka bank statement wamikoani VS wadar
wewe nae kilaza kweli,usipokula hiyo michongo utaifanyaje?
wewe nae unaonekana ni MWANAUME WA DAR!
 
Huyo wa dar sio hula ugali ndani ya chungu ugali moootoo kama unaokota kaa la moto kutoka kwenye jiko
 
Bhuahahahahaha duh wanaume wa dar slam naona wanatokwa na mapovu
 
Hahahahahaa alafu wanashika kwa vidole viwili sijui vingine wanamwachia nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…