Lengo kuu la kuingia kwenye ndoa tangu enzi za mababu ni kupata mtu wa kuchakatana naye. Ndiyo maana mahanithi hawaruhusiwi kufunga ndoa..
Ndoa ilikuwa na maana na muhimu zaidi enzi za mababu kwasabb ilikuwa haiwezekani kumpata mtu wa kuchakatana naye bila ndoa. Watu walikuwa na maadili ya "kufa mtu".
Mtu alikuwa yuko tayari kufa na utamu wake kuliko kuchakatana nje ya ndoa. Sasa ndugu zangu dunia ya leo suala la kumpata mtu wa kuchakatana naye si ni rahisi kuliko kupumua? (in magu's voice).
Kama hivyo ndivyo ya nini kujipa presha kwenda kujifungia na jitu moja maisha yote halafu muanze kusumbuana? Kwann unaidanganya nafsi?
Kama unataka mtoto chakataneni kisha leeni mtoto lkn kila mtu aendelee na maisha yake. Ukitaka mwingine nenda kwa mwingine, fanya hivyo hivyo.
Usije na swaga za ooh unajua ni dhambi kuzini. Wee! Kakuambia nani walio kwenye ndoa hawazini?? Tena ndiyo wanaongoza.
Dhana ya ndoa imepitwa na wakati, maadili yameporomoka sana. Kama maziwa ya bure yamejaa tele mitaani unafuga ng'ombe wa nini?