Hivi ndoa ina umuhimu gani zama hizi za dunia ya utandawazi?

Nadhani wote tunaongea jambo moja kwa lugha approach tofauti.

Wewe unasisistiza watu wakatae maagizo ya Mungu ya kutokuzini. Unataka watu wamtii Mungu kwa kuoa lkn wakichepuka hilo kwako si tatizo Sana ili mradi wameoa.

Mm nasisitiza kwamba kwa kuwa watu wameshindwa kumtii Mungu kwa kutoacha dhambi ya kuzini baada ya kuoa, bora wasioe kabisaa. Kwasabb kwa kuoa na Kisha kuzini wankuwa vuguvugu. Na Mungu hapendi mtu vuguvugu.

Kuna maandiko yanasema " Ni heri mtu kuwa moto au baridi kuliko kuwa vuguvugu maana nitamtapika".

Mkuu unaongea na mtu mwenye akili nene.
 
Mtume Paulo aliwaandikia 1 wakorinto 7; 1 hivi ni heri mwanaume asimguse mwanamke.Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanaume awe namke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe fullstop. Uchepukaji hautakiwi kwenye ndoa ni uchafu, ndoa ni kitu kitakatifu mbele za Mungu hakuna excuse hapo,kama unataka mchepuko usiingii kwenye ndoa unakwenda kunajisi ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…