Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Acha mzaha wewe wakati huu wa msiba wa taifa.
Msiba wa lemutuz au mwingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha mzaha wewe wakati huu wa msiba wa taifa.
Kabla ya hapo mimi sikuwahi sikia sehemu yoyoteMzuka wana JF!
Ni matumaini yangu wote wazima wa afya na mwenyezi Mungu anaendelea kutujalia uzima, amani, nguvu, afya na faraja wakati huu mgumu wa kumpoteza ndugu yetu Bernard Kamilius Membe.
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi hil neno la kiswahili UCHWARA mwanzilishi ni brother Tundu Lissu?
Nakumbuka wakati hule alipolitamka kwa mara ya kwanza dikteta uchwara likashika kasi sana na kuwa rasmi.
Jiwe alimaindi akakataza lisitumike.
😅😅😅haya maisha full raha sema kifo kibaya sana.Lisu alili-brand. Ni sawa na neno utopolo alianzisha shabiki wa yanga but manara akali-brand.
Kwa hiyo uchwara ni kitu ambacho sio kamili.Inaelekea wewe ni mtoto wa juzi. Hili neno uchwara ni la muda mrefu wakati wa Nyerere na asiasa za ujamaa.
Kulikuwa na mabepari......watu wenye hela sana sana especially USA and Western countries, hao walikuwa mabepari.
2. Matajiri wa nchi zilizobaki hasa Tanzania kulikuwa ma watu wenye pesa lakini huwezi kuwaita mabepari per se, bali MABEPARI UCHWARA
Sema kuna watu wamelivumisha huenda sisi wengine wa juzi tusingelisikiaHili neno nalijua toka nikiwa na miaka 5, na sasa nina miaka 50.
Mzuka ndiyo nini?Mzuka wana JF!
Ni matumaini yangu wote wazima wa afya na mwenyezi Mungu anaendelea kutujalia uzima, amani, nguvu, afya na faraja wakati huu mgumu wa kumpoteza ndugu yetu Bernard Kamilius Membe.
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi hil neno la kiswahili UCHWARA mwanzilishi ni brother Tundu Lissu?
Nakumbuka wakati hule alipolitamka kwa mara ya kwanza dikteta uchwara likashika kasi sana na kuwa rasmi.
Jiwe alimaindi akakataza lisitumike.
Sema kuna watu wamelivumisha huenda sisi wengine wa juzi tusingelisikia
hapana bwana, uchwara ni neno la kiswahili la zamani sana.Moja kwa moja kwenye mada. Hivi hil neno la kiswahili UCHWARA mwanzilishi ni brother Tundu Lissu?
wacha uongo wewe neno uchwara ni la kiswahili likiwa na maana kama vile 'iliyodharaulika' au low qualityNdiyo, ni yeye.!!
Hiyo mzuka wana JF ndo salam? Au mie ndo sijaelewa?
Msemo alioanzisha ni "Dikteta uchwara" ila "Uchwara" lilikuwepo.Mzuka wana JF!
Ni matumaini yangu wote wazima wa afya na mwenyezi Mungu anaendelea kutujalia uzima, amani, nguvu, afya na faraja wakati huu mgumu wa kumpoteza ndugu yetu Bernard Kamilius Membe.
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi hil neno la kiswahili UCHWARA mwanzilishi ni brother Tundu Lissu?
Nakumbuka wakati hule alipolitamka kwa mara ya kwanza dikteta uchwara likashika kasi sana na kuwa rasmi.
Jiwe alimaindi akakataza lisitumike.
Umewaza nini wa mDK 😂Aah kumbe?
Nchaaaaaaaa kaaaaaliiii
Kwa kuweka rekodi sawa...Neno uchwara lipo kitambo sana. Ni neno lenye kumaanisha kitu kisicho halisi, chenye kufanana na kitu halisi. Lissu alipenda kumuita yule bwana dikteta uchwara, yaani huyo bwana alipoanza kuonesha utawala wa kiimla alikuwa anaelekea kuwa dikteta kamili kutoka kwenye dikteta uchwara. Neno alilolianzisha Lissu ni mwendazake, tena kwa huyo huyo hasimu wake wa kisiasa baada ya kuondoka duniani. Naona wakenya nao wameanza kulitumia neno mwendazake
Hapana neno hili ni la Nyerere wakati wa Ujamaa. Alichukia mabepari na kwa kuwa Tanzania kulikuwa na vi-bepari ambao huwezi kuwaita mabepari, basi akawaita mabepari Uchwara.....kama alivyosema hela yetu ni hela ya madafu...kununua madafu na si vitu toka nje enzi hizo...Rostam Aziz: Najiuzulu Ubunge wa Igunga nimechoshwa na Siasa Uchwara
Hapo ndipo Umaarufu wa " Uchwara" ulianza japo ni Neno la kitambo sana
😂😂😂😂😂🙌Utawaweza vijana wakishapiga k vant