Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

Wewe mwenyewe ni Kilaza wa kutupwa ulituaminisha uongo kuwa wayahudi si kitu wala si lolote. Lakini nilipokupa ukweli ukabaki kung’ang’aa macho tu!!!
 
Acha uzwazwa na conspiracy theories kijana.
Tatizo nyie munaleta ushamba wa dini, sisi tunaleta kita kilichopo ..ukiweka dini pembeni maana wavaa kobaaz muna chuki na mayahudi ila ukweli ni kwamba Hao majamaa ni matajiri haswa hapo USA, na uko Russia, ulaya ndio usiseme, ndio maana marekani hacheui kwake
 
Kwanza usiwe mpumbavu wa kuleta masuala ya udini.
Uchumi wa USA haujajengwa na hao matajiri unaowasemea.
Sawa wapo ila sio wa kusema waiendeshe serikali ya Marekani noop.
Kama wapo kweli hao matajiri wangeenda kuwekeza directly pale Tel Aviv na kutoa direct support kwa serikali ya Tel Aviv.
Ila Serikali ya Tel Aviv huenda kuomba msaada White House na Kuna kipindi wanagomewa huo msaada mathalan 2021 waligomewa msaada wa silaha,mbona hao matajiri hawakujitokeza kuishinikiza serikali ya USA itoe msaada!??
Unakua una akili kama za mtoto mdogo bana we jamaa aaaah!!
 
Ulivyo mjinga hata huijui AIPAC na laiti ungeijua usingebwabwaja ovyo hivyo!!!!
 
Mkuu unapoteza muda wako bure kubishana na mtu aliekimbia shule ili akawe mchunga nguruwe wa mchungaji wao huko kijijini kwao.
Ateteae wuongo ni mmoja wao huyo. Huyo Adiosamigo ni mtu muongo ameathilika na uislam kutetea uongo wa Mohammad. Hata kuweka souce ya hoja zake za utetezi wa uongo wake hawezi sababu naijua ni haielezei kama madai yake mimi najua uongo wote wa Quran na hadithi so Hume jf nikiona uongo wake na matusi dhidi ya Christianity namtoa nishai kwa aya za Quran amuumbue Allah.

Uanaona anahangaika kujibu sababu anajifunza kwangu kifo cha Mudy alidanganya kaanza kukaa sawa mdogo mdogo ataelewa tu kaona hatoshi kukubali kifo cha sumu kachomekea eti jibril alizuia asiendelee kula hahaha
Nitamuwekea hadithi ya ukweli ajue vizuri mroho wa nyama akawekewa sumu.
uislam ni iblis not from God.
Mimi ukinitukana sijali kama ametutukana sana were ni Nani usiyejua uislam
 
Alisha niambia ndugu Kosugi nika mkwepa naona karudi tena nikadhania anatafuta elimu kumbe vile vile. Sawa ndugu wacha niwachane naye kabisa.
Hahaha elimu ya udanganyifu? Kuna chochote wewe sio Allah au Mohammad mlichowahi ongea cha ukweli?

Ndio Yale Yale ya Mtume wenu Mudy baada ya kingiliwa na iblis akasema shetani kumfundisha mambo mazuri tu na mtume akafanikiwa kumsilimisha so iblis akasema shahada Akawa muislam , so iblis ni ndugu yenu katika uislam. Ule msemo wenu maarufu wa auzubilah mina shetan sijui ni kazi bure ndugu yenu huyo.

Eti utoe elimu hahaha
 
Tamblock vipi hebu nipe njia ili nimalizane naye hana faida kabisa hajui lolote. Huyo si ndio wewe kwa jina lingine
Acha kunifananisha na watu wengine Ewe fake muslim Quran imeandika mkipatwa na doubt na mashaka yeyote mumulize Mlaleo
Quran 10:94.
 
Hebu soma afu niambie ulicho andika umeandika nini vile
 
Neta ni jenerali wa jeshi, hivyo basi asingefikia hapo kama siyo msomi, labda ulitaka usomi wa aina gani,.
 
Neta ni jenerali wa jeshi, hivyo basi asingefikia hapo kama siyo msomi, labda ulitaka usomi wa aina gani,.
Labda ni msomi wa kuunga unga vyeti, na kutoa rushwa ndomaana wenye nchi yao wamemfungulia kesi ya ufisadi na wizi wa mali za umma.
 
Neta ni jenerali wa jeshi, hivyo basi asingefikia hapo kama siyo msomi, labda ulitaka usomi wa aina gani,.
Katika viongozi wenye usomi na maono unawezaje kumuweka Netanyahu!?
HUWEZI kuwa serious.
 
Wewe hata ueleweki mkuu, matajiri wakubwa pale marekani ni mayahudi, Hao Jamaal wanapesa na Wana uwezo wa kuendesha serikali wanavyotaka, wewe ona mambo kama unavyoona.. Kuna muda ujinga ni baraka..
Matajiri wakubwa marekani mbona wanajulikana hata kwenye list ya forbes hao wayahudi mbona hatuwaoni?
 
Matajiri wakubwa marekani mbona wanajulikana hata kwenye list ya forbes hao wayahudi mbona hatuwaoni?
Katika hizo list walio behind ni hao hao, Muulize Kanye west hana hamu alijijua yupo salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…