Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

kwanini kobazi mkiishindwa vita Israel mnacheza na victim card kuita mauaji ya kimbari?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Hata Shetaninyau wenu alipoona makombora ya Iran yanazidi kuvunja ulinzi wa anga lake, anakimbilia kudai kwamba mashambulizi hayo yanaua raia wao.

Je mbona hukumuuliza hili swali?
 
Unamwita mwamba mtu ambae vita ya week tu ilimfanya ashindwe kula, kunywa, kuoga wala kupiga mswaki!

Toka uzaliwe umeshawahi kumuona Shetaninyau akiwa kafedheheka na kukonda mamna hii kama kibabu kinachoishi kwa kula majalalani?

Mshukuruni Trump kwa kuwaombea poo, bila hivyo nchi nzima ingegeuka jangwa.
 

Attachments

  • 20250620_225357.jpeg
    21.3 KB · Views: 24
Unajua hizi
BBC,CNN, Washington post na vyombo vingine vya magharibi vimefanikiwa kuwa brain wash waafrika,waafrika wamefanywa kama mazezeta vile
Ni kweli kabisa mkuu 🤣🤣🤣
 
Yoda
 
Umeandika vizuri japo wapumbavu wachache watakupinga kwa ajili ya kumtetea mungu wao Shetaninyau.
 
Mkuu kuhusu mafuta naomba kukuchallenge, mafuta kwa miezi michache iliyopita bei iliku $2.03 per litre, kwa Sasa m Bei no $2.2
Hii kupanda sana si kweli
Haifa Refinery ilishambuliwa na Iran na kupata madhara makubwa sana

Habari zikaanza kusambaa sana kuwa mafuta yatapanda sana na kwa kuwa na upungufu huo.
India Times waliripoti hilo

Ila dunia hii kuna za kupikwa pia na ukweli upo ila kuutambua ni kazi siku hizi, hujui nani mkweli

Au Ina maana serikali ndio imeamua kutokupandisha na kufidia hasara?

Hebu nisaidie hapo
 
Aisee! Kumbe netapaka ni kilaza..!
Vibaya sana mkuu. Wachina na wajapan wamewatumia wenzao wa Ulaya, na Marekani kufanya mambo makubwa na yenye tija katika nchi zao.
Halafu Netanyahu yeye amekalia kwenda Ulaya na Marekani kila siku kuomba hela za kuanzisha vita na kununua madawa ya walioumia vitani.

Hiyo ni akili au ukilaza uliopitiliza viwango vya ukilaza wenyewe.
 
Unajizungusha sana wakati netanyahu huyo ni mfano wa ccm ya tanzania
 
Ulichoongea kama hakina ushahidi basi ni uongo
Hata na hili la Shetaninyau kwenda Marekani zaidi ya mara 2 kwa muda wa miezi 6, pamoja na kupewa misaada na Marekani linahitaji ushahidi.

Ama kweli wayahudi wa shithole mna matatizo makubwa ya kutumia akili zenu wenyewe kufikiri vizuri.
 
Uzuri ni kwamba aliyeandika mada hii n mwananchi wa Namtumbo na inawezekana ana maisha magumu kulinganisha na Netanyahu 😂
Netanyahu unamuona ana maisha mazuri sababu ya ufisadi. Kwani wewe haujui kama jamaa ana kesi ya ufisadi?

Hata hapa tulipo mafisadi wanaishi maisha mazuri kuliko wewe. Ila haimaanishi kuwa wao ni bora kuliko kila mtu.
 
Netanyahu unamuona ana maisha mazuri sababu ya ufisadi. Kwani wewe haujui kama jamaa ana kesi ya ufisadi?

Hata hapa tulipo mafisadi wanaishi maisha mazuri kuliko wewe. Ila haimaanishi kuwa wao ni bora kuliko kila mtu.
Kwan Ww nani amekukataza kuwa fisadi?
 
Hivi mleta mada ulifaulu mtihani wa darasa la saba kweli?
Kama Netanyahu mwenyewe elimu yake imeshindwa kumsaidia kujitegemea, hiyo elimu yenyewe itakuwa inamaana gani kwa mwaafrika wa shithole?
 
Nimecheka sana mkuu 🤣🤣🤣🤣
 
Nyani Ngabu atacheka akiona hii comment...
Obviously mkuu. Mtu yoyote mwenye akili timamu akiona hizo propaganda zinazodai kuwa wayahudi ndio matajiri na wasomi wakubwa duniani lazima acheke kama sio kusikitika kwa uongo huo.
 
Kwan Ww nani amekukataza kuwa fisadi?
Sihitaji kuwa fisadi, wakati nina mikono, miguu na akili ya kutafuta vyangu kihalali.

Unawezaje kujitajirisha kupitia jasho la mwanaume, au binadam mwenzako na wakati una nguvu zako, akili zako, miguu yako, mikono yako na pengine elimu yako. Na mwisho wa siku utaviacha vyote hapa hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…