Hivi ni akili , uoga au upumbavu kuhusu UTT ?

Hivi ni akili , uoga au upumbavu kuhusu UTT ?

Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M .

Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M

Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi
Uko sahihi kabisa,utt ili uione faida yake yatakiwa uweke hela ndefu,ila kama lengo ni kukuza mtaji sawa.
 
Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M .

Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M

Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba Risk Apettite ya kila mtu ni tofauti.

Duniani kote safer investments zina returns ndg, ila riskier zina return kubwa.

Mfananisho wako na banda la chips ni absurd
 
Kila mtu na kipaumbele chake
Wabongo bwana. Mtu anaandika kinachomjia kichwani tu. Hivyo vibanda vya chips vyenye hiyo return viko vingapi wakati kila siku watu wanafungua vibanda na vinakufa. Halafu hiyo know how na muda na mazagazaga yote ya kuendesha kibanda cha chips ni kila mtu anaweza? Malengo na hali za watafutaji ni tofauti ndiyo maana kila mtu anachagua eneo analoona ni rahisi kwake.
 
Kwa hiyo watu hawali chips kwa kuwa baadhi ya vibanda vimefungwa aidha kwa mtu kuhamia kwenye shughuli nyingine.
 
Mkuu umetumia maneno makali saana na hapo imeonesha ni namna gani ulivyo na dharau au haufikirii nje ya box kwa lugha rahisi wewe unataka watu wote tuwe wafanyabiashara ukiwa mkulima ww ni mpumbavu ukiwa mtumishi wewe ni mpumbavu n.k
Unajua anayeweka pesa utt ana malengo gan? Kuna watu ambao wanamalengo ya saving tu akiwa na lengo baada ya miaka kumi ijayo atoe pesa yake na afanyie jambo na hapa ndio utawakuta wanafunzi,watumishi na wakulima.
Au ww wote waliowekeza UTT wamwkwambia kuwa wanataka faida kila mwisho wa mwezi?
Nashindwa kuendelea kutoa faida ya kuwekeza huko utt kwa sababu ushakuja na hitimisho kuwa huo ni upumbvu.
Mwisho usimpangie mtu cha kufanya.
 
Back
Top Bottom