Hivi ni akili , uoga au upumbavu kuhusu UTT ?

Hivi ni akili , uoga au upumbavu kuhusu UTT ?

Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M .

Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M

Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi
Ni utaahira, hakuna mtu mchakarikaji anaezaeka hela huko, wanaweka matajiri ambao hela zao zinaezakas bank bila withdraw kwa 10 yrs, wasomi ndo wana mawazo mgando ya utt
 
Watu wasiojua biashara wanadhani biashara ni rahisi na kuna faida za kujichotea tu. Hesabu za kwenye makaratasi zinadanganya sana watu.
 
Back
Top Bottom