Nanren ukitaka kujiondoa je unauwezo wa kutoa principal pamoja na faida kwa pamoja?au unatoa profit pekee?UTT haina stress.
Hilo banda la laki saba, mara TRA hao hapo, mara halimashauri hao hapo, bado bidhaa zikudodee, bado upigwe na nduguzo, mara vibaka wamepita...