Mkuu umetumia maneno makali saana na hapo imeonesha ni namna gani ulivyo na dharau au haufikirii nje ya box kwa lugha rahisi wewe unataka watu wote tuwe wafanyabiashara ukiwa mkulima ww ni mpumbavu ukiwa mtumishi wewe ni mpumbavu n.k
Unajua anayeweka pesa utt ana malengo gan? Kuna watu ambao wanamalengo ya saving tu akiwa na lengo baada ya miaka kumi ijayo atoe pesa yake na afanyie jambo na hapa ndio utawakuta wanafunzi,watumishi na wakulima.
Au ww wote waliowekeza UTT wamwkwambia kuwa wanataka faida kila mwisho wa mwezi?
Nashindwa kuendelea kutoa faida ya kuwekeza huko utt kwa sababu ushakuja na hitimisho kuwa huo ni upumbvu.
Mwisho usimpangie mtu cha kufanya.