HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 318
- 627
Uko sahihi kabisa,utt ili uione faida yake yatakiwa uweke hela ndefu,ila kama lengo ni kukuza mtaji sawa.Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M .
Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M
Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba Risk Apettite ya kila mtu ni tofauti.Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M .
Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M
Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi
Wapi eneo la kibanda cha chips nikawekeze na mie?Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M .
Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M
Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi
Mil400 kwenda juu ndio unaenjoyKule inatakiwa uweke pesa ndefu ambayo huoni pa kuipeleka..
Kupelekea vi milioni 2 vyako ulivyosave kwa mwaka is meaningless.
Absurd???Unachoshindwa kuelewa ni kwamba Risk Apettite ya kila mtu ni tofauti.
Duniani kote safer investments zina returns ndg, ila riskier zina return kubwa.
Mfananisho wako na banda la chips ni absurd
Wekeza tshs billion 1 kwenye hati fungate za serikali upate tshs 159,400,000 kwa mwaka tax free na husle free.Mil400 kwenda juu ndio unaenjoy
...inapigiwa tu promo coz watu tayari wana ulaji wao ila in real sense ni upuuziMtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M .
Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M
Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi
Aisee kumbe ukipata billion bongo wee nikula mbussus mpaka unadata.Wekeza tshs billion 1 kwenye hati fungate za serikali upate tshs 159,400,000 kwa mwaka tax free na husle free.
Wabongo bwana. Mtu anaandika kinachomjia kichwani tu. Hivyo vibanda vya chips vyenye hiyo return viko vingapi wakati kila siku watu wanafungua vibanda na vinakufa. Halafu hiyo know how na muda na mazagazaga yote ya kuendesha kibanda cha chips ni kila mtu anaweza? Malengo na hali za watafutaji ni tofauti ndiyo maana kila mtu anachagua eneo analoona ni rahisi kwake.Kila mtu na kipaumbele chake
Kila mbuzi hula usawa wa kamba yake, kila mtu atawekeza kile alicho nacho.Uko sahihi kabisa,utt ili uione faida yake yatakiwa uweke hela ndefu,ila kama lengo ni kukuza mtaji sawa.
Hivi ni tax free kwa asilimia 100? Na unaweka kwa muda gani minimum?Wekeza tshs billion 1 kwenye hati fungate za serikali upate tshs 159,400,000 kwa mwaka tax free na husle free.
Kwa hiyo watu hawali chips kwa kuwa baadhi ya vibanda vimefungwa aidha kwa mtu kuhamia kwenye shughuli nyingine.Wabongo bwana. Mtu anaandika kinachomjia kichwani tu. Hivyo vibanda vya chips vyenye hiyo return viko vingapi wakati kila siku watu wanafungua vibanda na vinakufa. Halafu hiyo know how na muda na mazagazaga yote ya kuendesha kibanda cha chips ni kila mtu anaweza? Malengo na hali za watafutaji ni tofauti ndiyo maana kila mtu anachagua eneo analoona ni rahisi kwake.