Jini Kisiranii JF-Expert Member Joined Feb 20, 2018 Posts 1,912 Reaction score 2,254 Jan 7, 2025 #141 HUMAN ERROR said: Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M . Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi Click to expand... Ni utaahira, hakuna mtu mchakarikaji anaezaeka hela huko, wanaweka matajiri ambao hela zao zinaezakas bank bila withdraw kwa 10 yrs, wasomi ndo wana mawazo mgando ya utt
HUMAN ERROR said: Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M . Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi Click to expand... Ni utaahira, hakuna mtu mchakarikaji anaezaeka hela huko, wanaweka matajiri ambao hela zao zinaezakas bank bila withdraw kwa 10 yrs, wasomi ndo wana mawazo mgando ya utt
M Manzile JF-Expert Member Joined Apr 23, 2020 Posts 701 Reaction score 1,900 Jan 7, 2025 #142 mzabzab said: Mil400 kwenda juu ndio unaenjoy Click to expand... Ukiweka 400m unapata bei gani Kwa mwezi?
mzabzab said: Mil400 kwenda juu ndio unaenjoy Click to expand... Ukiweka 400m unapata bei gani Kwa mwezi?
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Jan 7, 2025 #143 Manzile said: Ukiweka 400m unapata bei gani Kwa mwezi? Click to expand... Tatu nukta tano million mheshimiwa
Manzile said: Ukiweka 400m unapata bei gani Kwa mwezi? Click to expand... Tatu nukta tano million mheshimiwa
tycoonff JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 925 Reaction score 1,306 Jan 7, 2025 #144 Watu wasiojua biashara wanadhani biashara ni rahisi na kuna faida za kujichotea tu. Hesabu za kwenye makaratasi zinadanganya sana watu.
Watu wasiojua biashara wanadhani biashara ni rahisi na kuna faida za kujichotea tu. Hesabu za kwenye makaratasi zinadanganya sana watu.
D Don Masanja JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 273 Reaction score 251 Jan 8, 2025 #145 Ze Heby said: Hapo banda la chipsi unakuwepo physically au unakabidhi kwa hesabu??? Click to expand... Ukitaka kufanikiwa uwepo mwenyewe muda wote
Ze Heby said: Hapo banda la chipsi unakuwepo physically au unakabidhi kwa hesabu??? Click to expand... Ukitaka kufanikiwa uwepo mwenyewe muda wote
M Manzile JF-Expert Member Joined Apr 23, 2020 Posts 701 Reaction score 1,900 Jan 8, 2025 #146 mzabzab said: Tatu nukta tano million mheshimiwa Click to expand... Kwa mwaka?
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Jan 8, 2025 #147 Manzile said: Kwa mwaka? Click to expand... Mwezi bro