Hivi ni haki kwa mke kumficha mumewe password ya simu yake?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba.

Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo?

Kuna ustawi wa familia kweli hapo?

eti wakuu😳?

Mi nimekwazika kwa kweli

Labella
Mahondaw
financial services
Joanah
 
Wee jamaa sasa jamani mbona mnamuone financial services yeye bado hajawa mke wee unamuuliza maswali ya ndoa kweli
 
Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba.

Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo?

Kuna ustawi wa familia kweli hapo?

eti wakuu😳?

Mi nimekwazika kwa kweli

Labella
Mahondaw
financial services
Joanah
Yaani mtu mwenye ruhusa ya kumvua kyupi na kumpekenyua, mtu huyo hana ruhusa ya kuiangalia simu yake😀? Are you guys serious Ama kweli siku hizi nyuchi siyo kwamba zimeshuka thamani bali hazina thamani kabisa🤣🤣
Nilikwanadhani ni story tu za mitandaoni kumbe ni serious kabisa wenza hawaruhusiani kugusiana simu zao?
 
Imajini
 
Hivi inakuwaje mpaka watu mnakuwa hamna uhuru katika simu za wenzi wenu? Kwanini mtu afiche (password) simu yake?

Mimi mtu mwenye mashaka, asiyekuwa na uhuru wa kuacha simu na mambo kama hayo ni red flag kuu na hakutokuwa na future hapo.
 
Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba.

Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo?

Kuna ustawi wa familia kweli hapo?

eti wakuu😳?

Mi nimekwazika kwa kweli

Labella
Mahondaw
financial services
Joanah
Kama line imesajiriwa kwa jina lake Yes ana haki ya faragha 100% ni simu yake na password ni mali yake
 
Back
Top Bottom