Hivi ni haki kwa mke kumficha mumewe password ya simu yake?

Hivi ni haki kwa mke kumficha mumewe password ya simu yake?

Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia Wewe(akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba.

Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo?

Kuna ustawi wa familia kweli hapo?

eti wakuu😳?

Mi nimekwazika kwa kweli

Labella
Mahondaw
financial services
Joanah
Wewe umempa password ya simu yako?
 
Si achukue simu yake, amtandike atoe password.!

Hao wanawake mbona mnaishi nao kwa kuwaogopa wakati nyie ndo mmewatolea mahari eboo 😡

Simu ya mwanamke haitakiwi kuwa na password, ya kwako mwanaume pekee ndo iwe na password… km hataki arudi kwao ajioe mwenyewe..!! 😹
Jaman kuanzia sasa napokea mapendekezo ya eneo la kuweka sanamu ya mkuu Labella kula gwala aisee 🤛👊
 
Si achukue simu yake, amtandike atoe password.!

Hao wanawake mbona mnaishi nao kwa kuwaogopa wakati nyie ndo mmewatolea mahari eboo 😡

Simu ya mwanamke haitakiwi kuwa na password, ya kwako mwanaume pekee ndo iwe na password… km hataki arudi kwao ajioe mwenyewe..!! 😹
Alooh! Umeongea bonge la point. Sawa tutagangamala nao wake zetu wasituletee ujinga ndani ya nyumba
 
Mkuu akiendelea kukatalia nikodishie huyo mwanamke. Kwa sheria za ki feminst hutakiwi wala kuishika simu ya mkeo/mmeo bila lidhaa yake.
Ila sisi wazee wa kuforce simu ya mama mji hadi watoto lazima wajue password sio ombi ni lazima
 
hili nshafafanua mkuu kinagaubaga apo juu ni hivi mke analipiwa dau kabla ya kungana na mumewe, kwaiyo yeye na vyote anavyovimiliki ni vya uyo mtoa dau.
Sawa lakini iwe stated afahamu tangu mnakubaliana kuoana
 
Si achukue simu yake, amtandike atoe password.!

Hao wanawake mbona mnaishi nao kwa kuwaogopa wakati nyie ndo mmewatolea mahari eboo 😡

Simu ya mwanamke haitakiwi kuwa na password, ya kwako mwanaume pekee ndo iwe na password… km hataki arudi kwao ajioe mwenyewe..!! 😹
Hata ikiwa na password shart mume aijue
 
Back
Top Bottom