Hivi ni haki kwa mke kumficha mumewe password ya simu yake?

Hivi inakuwaje mpaka watu mnakuwa hamna uhuru katika simu za wenzi wenu? Kwanini mtu afiche (password) simu yake?

Mimi mtu mwenye mashaka, asiyekuwa na uhuru wa kuacha simu na mambo kama hayo ni red flag kuu na hakutokuwa na future hapo.

Unachokitafuta utakipata.
 
Kasome Sheria ya makosa ya mtandao, tena imeandikwa Kwa kiswahili. Kila mtu anatakiwa kulinda kifaa chake Cha mawasiliano kama simu au computer, ikitumika kufanya uharifu muhusika ndio mtuhumiwa no 1. Ni kosa kushare password. Ujinga huu ndio maana kila Siku unasikia kuna connection sijui za nani zimetoka, watu wanagombania, hujui mtu anaweza kukugeuka sekunde Moja mbele tu, don't trust anyone.

Simu Sasa Zina taarifa binafsi nyingi kama account na card za benki, mitandao ya simu, email za office, biashara na washirika, taarifa za afya zetu kama report za vipimo n.k.

Mwanajamii zingatia simu ya mkononi ni Mali yako either umenunua au umenunuliwa unawajibika na usalama wake.

Mimi Bora nikupe bando kuliko kukupa simu yangu. Access zote zinazo support 2 Factor Authentication ziko activated.

Mimi Hadi Simu Card ina PIN ikiibwa au kupotea hutasikia zile message za kitapeli zikitoka kwenye number yangu.

Kwa mSaada wa ChatGPT ntaongeza Nyama kuhusu Sheria.

Sheria ya makosa ya mtandao nchini Tanzania inasimamiwa na Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 (The Cybercrimes Act, 2015). Kuhusu masuala ya nywila (password) ya simu, sheria hii inalinda haki ya faragha ya mtumiaji wa simu na inatoa mwongozo kuhusu matumizi ya nywila kwa njia zifuatazo:

1. Faragha ya Mtumiaji

Sheria inalinda taarifa za mtumiaji, ikiwa ni pamoja na nywila. Kuingilia simu ya mtu mwingine au kutumia nywila yake bila ruhusa ni kosa la jinai.

Kifungu cha 7 cha sheria hii kinakataza mtu yeyote kupata taarifa, kuingilia, au kutumia kifaa cha mawasiliano cha mtu mwingine bila ridhaa.

2. Kutumia Nywila ya Mtu Bila Ruhusa

Ikiwa mtu atapata au kutumia nywila ya mtu mwingine kwa nia ya kupata mawasiliano, taarifa binafsi, au kufanya uhalifu, anaweza kushtakiwa kwa makosa ya mtandao.

Adhabu inaweza kuwa faini ya hadi Tsh milioni 5 au kifungo cha hadi miaka mitatu au vyote kwa pamoja, kulingana na madhara yaliyosababishwa.

3. Kulazimisha Kufichua Nywila

Kulazimisha mtu kufichua nywila yake kwa njia ya vitisho, ulaghai, au shinikizo ni kosa chini ya sheria hii.

Hata hivyo, vyombo vya dola vinaweza kuhitaji nywila kutoka kwa mtu wakati wa uchunguzi wa kisheria, lakini hili lazima litekelezwe kwa kufuata taratibu zinazokubalika kisheria.

4. Kuzingatia Usalama wa Nywila

Watumiaji wanahimizwa kulinda nywila zao ili kuepuka kuingiliwa kwa vifaa vyao vya mawasiliano.

Kutumia au kusambaza nywila za watu wengine bila idhini yao kunaweza kupelekea hatua za kisheria.

5. Adhabu za Jumla za Makosa ya Mtandao

Kifungu cha 22 kinaeleza kuwa mtu anayefanya makosa yanayohusiana na nywila au ulinzi wa taarifa anaweza kushtakiwa kwa makosa ya udukuzi, na adhabu inaweza kufikia faini au kifungo kulingana na uzito wa kosa.

Ikiwa unahitaji mwongozo wa kina kuhusu sheria hii, unaweza kusoma nakala ya Sheria ya Makosa ya Mtandao ya 2015 au kuwasiliana na mwanasheria.
 
Mtihani kweli ,kimsingi huna mke hapo ,wakati namuoa nilimwambia sihitaji vikwazo kwenye simu yake naweza kuishika muda wowote.Ndugu Sasa hivi wanawake hakuna ,fanya mambo yako ya msingi.labda pengine uweke camera kwa siri ndani na kinasa sauti cha kurecord sauti jifanye umesafiri kwa wiki moja.naamini hataweza kuvumilia usiku bila kumpigia mchepuko
 
Hili limekuwa likinishangaza hadi naonekana sipo timamu. Mtu mwenye access namwili wako ukiwa mtupu. Mtu anayekupikia, mtu unayelala naye na macho unayafumba yote, mtu ambaye ana password ya card yako ya bank, huyo ndiye hatakiwi kuwa na password ya simu?
Hapana, mimi maisha hayo hapana. Mimi siyo gaidi kwamba napanga hujuma wala siyo mtu wa usalama kwamba kuna taarifa nazilinda

"Ruksa kushikana ila sio kushikiana Simu" FidQ
 
Muweke chini mwambie kama anataka mkae pamoja atoe pin,kama hataki mtimue mapema
 
Hivi inakuwaje mpaka watu mnakuwa hamna uhuru katika simu za wenzi wenu? Kwanini mtu afiche (password) simu yake?

Mimi mtu mwenye mashaka, asiyekuwa na uhuru wa kuacha simu na mambo kama hayo ni red flag kuu na hakutokuwa na future hapo.
Hakuna future na ashakuzalisha msururu wa watoto?
 
Moja ya vitu ambavyo haviwezi kunipotezea muda ni kuhangaika na simu ya mke wangu.
Yeye ana simu yake na mimi nina simu yangu.
Nashukuru vile vile kuwa hata yeye hapotezi muda kuhangaika na simu yangu.

📌📌
 
Ni wapi iliposemwa kuwa simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia kuitumia kwa uhuru kabisa? Kwa nini jambo unalotaka wewe liwe hivyo unataka kulifanya kuwa ndivyo lilivyo kwa kila mtu? Kuna kitu kinaitwa privacy katika maisha ya ndoa, kuna vitu huchukui au kutizama bila idhini ya mwenza wako ikiwemo simu hata kama umemnunulia wewe.
duuh hii namna yako ya kufikiri ni highly disturbing....una umri gan wew?
 
Unachokitafuta utakipata...

Simu ni sawasawa na kitunguu, unakimenya na kukikata huku unalia mwenyewe....
 
Kasome Sheria ya makosa ya mtandao, tena imeandikwa Kwa kiswahili. Kila mtu anatakiwa kulinda kifaa chake Cha mawasiliano kama simu au computer, ikitumika kufanya uharifu muhusika ndio mtuhumiwa no 1. Ni kosa kushare password. Ujinga huu ndio maana kila Siku unasikia kuna connection sijui za nani zimetoka, watu wanagombania, hujui mtu anaweza kukugeuka sekunde Moja mbele tu, don't trust anyone.

Simu Sasa Zina taarifa binafsi nyingi kama account na card za benki, mitandao ya simu, email za office, biashara na washirika, taarifa za afya zetu kama report za vipimo n.k.

Mwanajamii zingatia simu ya mkononi ni Mali yako either umenunua au umenunuliwa unawajibika na usalama wake.

Mimi Bora nikupe bando kuliko kukupa simu yangu. Access zote zinazo support 2 Factor Authentication ziko activated.

Mimi Hadi Simu Card ina PIN ikiibwa au kupotea hutasikia zile message za kitapeli zikitoka kwenye number yangu.

Kwa mSaada wa ChatGPT ntaongeza Nyama kuhusu Sheria.

Sheria ya makosa ya mtandao nchini Tanzania inasimamiwa na Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 (The Cybercrimes Act, 2015). Kuhusu masuala ya nywila (password) ya simu, sheria hii inalinda haki ya faragha ya mtumiaji wa simu na inatoa mwongozo kuhusu matumizi ya nywila kwa njia zifuatazo:

1. Faragha ya Mtumiaji

Sheria inalinda taarifa za mtumiaji, ikiwa ni pamoja na nywila. Kuingilia simu ya mtu mwingine au kutumia nywila yake bila ruhusa ni kosa la jinai.

Kifungu cha 7 cha sheria hii kinakataza mtu yeyote kupata taarifa, kuingilia, au kutumia kifaa cha mawasiliano cha mtu mwingine bila ridhaa.

2. Kutumia Nywila ya Mtu Bila Ruhusa

Ikiwa mtu atapata au kutumia nywila ya mtu mwingine kwa nia ya kupata mawasiliano, taarifa binafsi, au kufanya uhalifu, anaweza kushtakiwa kwa makosa ya mtandao.

Adhabu inaweza kuwa faini ya hadi Tsh milioni 5 au kifungo cha hadi miaka mitatu au vyote kwa pamoja, kulingana na madhara yaliyosababishwa.

3. Kulazimisha Kufichua Nywila

Kulazimisha mtu kufichua nywila yake kwa njia ya vitisho, ulaghai, au shinikizo ni kosa chini ya sheria hii.

Hata hivyo, vyombo vya dola vinaweza kuhitaji nywila kutoka kwa mtu wakati wa uchunguzi wa kisheria, lakini hili lazima litekelezwe kwa kufuata taratibu zinazokubalika kisheria.

4. Kuzingatia Usalama wa Nywila

Watumiaji wanahimizwa kulinda nywila zao ili kuepuka kuingiliwa kwa vifaa vyao vya mawasiliano.

Kutumia au kusambaza nywila za watu wengine bila idhini yao kunaweza kupelekea hatua za kisheria.

5. Adhabu za Jumla za Makosa ya Mtandao

Kifungu cha 22 kinaeleza kuwa mtu anayefanya makosa yanayohusiana na nywila au ulinzi wa taarifa anaweza kushtakiwa kwa makosa ya udukuzi, na adhabu inaweza kufikia faini au kifungo kulingana na uzito wa kosa.

Ikiwa unahitaji mwongozo wa kina kuhusu sheria hii, unaweza kusoma nakala ya Sheria ya Makosa ya Mtandao ya 2015 au kuwasiliana na mwanasheria.
sawa. ila kumbuka dunia imeshavaa bukta wanawake hawaeleweki, wew fatisha ivo vifungu vya sheria uone utakavopigwa kitu kizito apo bdae. tutawangoja kule jukwaa la afya kwa ushauri wa mambo ya DNA.
 
Sijui anatafuta nini humo mpk atake password.
Humuamini fukuzilia mbali.
Full stop
Nashanga mwanau e unababaikaje kufukuza mwanamke. Mtu unamlisha wewe unamvalisha wewe unashindwaje kumfukuza?
 
duuh hii namna yako ya kufikiri ni highly disturbing....una umri gan wew?
Sema vyovyote vile juu ya namna ninavyofikiri, hilo sio tatizo langu. Ama kwa umri wangu niko katika age ambayo ninamuamini mke wangu, namheshimu mke wangu na kuliko yote nampenda sana kiasi ambacho sina sababu ya kujipa pressure ya kutaka kufungua simu ya mke wangu. Tuko katika age ya kuaminiana na kuwa wazi juu ya maisha yetu pamoja. Mmoja wetu akimchoka mwenziwe atasema tu na maisha mapya yataanza.
 
Mkuu, mambo mengine achana nayo..
Matatizo yapo tu, usipoyaona leo, utayaona baadae.

Linda moyo uishi maisha marefu.
 
Back
Top Bottom