Hivi ni haki kwa mke kumficha mumewe password ya simu yake?

Hivi ni haki kwa mke kumficha mumewe password ya simu yake?

Kila mtu apambane na simu yake. Tabia ya kupekuana siipendi. Na ndoa haikupi uhalali wa kutokuwa na faragha binafsi. Yaani hata nikiwa naongea umbea na mashosti uone!!?? Eehh!!.
 
Back
Top Bottom