Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wee jamaa sasa jamani mbona mnamuone financial services yeye bado hajawa mke wee unamuuliza maswali ya ndoa kweliWakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba.
Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo?
Kuna ustawi wa familia kweli hapo?
eti wakuu😳?
Mi nimekwazika kwa kweli
Labella
Mahondaw
financial services
Joanah
Katiba ya familia inasemaje?Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo?
huku kwetu mke analipiwa dau ili aungane na mumewe, yeye na vyote anavyovimiliki ni vya uyo mtoa dau.Simu alinunua nani? Tuanzie hapo kwanza.!!
Mbutue mpk atoe password na uchukue simu yako..!huku kwetu mke analipiwa dau ili aungane na mumewe, yeye na vyote anavyovimiliki ni vya uyo mtoa dau.
hili nshafafanua mkuu kinagaubaga apo juu ni hivi mke analipiwa dau kabla ya kungana na mumewe, kwaiyo yeye na vyote anavyovimiliki ni vya uyo mtoa dau.Katiba ya familia inasemaje?
Tuanzie hapo
Yaani mtu mwenye ruhusa ya kumvua kyupi na kumpekenyua, mtu huyo hana ruhusa ya kuiangalia simu yake😀? Are you guys serious Ama kweli siku hizi nyuchi siyo kwamba zimeshuka thamani bali hazina thamani kabisa🤣🤣Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba.
Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo?
Kuna ustawi wa familia kweli hapo?
eti wakuu😳?
Mi nimekwazika kwa kweli
Labella
Mahondaw
financial services
Joanah
🤣🤣kiongozi mbona sio mkurya mmMbutue mpk atoe password na uchukue simu yako..!
ImajiniYaani mtu mwenye ruhusa ya kumvua kyupi na kumpekenyua, mtu huyo hana ruhusa ya kuiangalia simu yake😀? Are you guys serious Ama kweli siku hizi nyuchi siyo kwamba zimeshuka thamani bali hazina thamani kabisa🤣🤣
Nilikwanadhani ni story tu za mitandaoni kumbe ni serious kabisa wenza hawaruhusiani kugusiana simu zao?
kiongozi naelekea weye bado mbarubaru hujaoaKwani zile ujumbe kutoka TCRA na polisi wanazosema usimpe namba ya siri mtu yoyote unafikiri walimaanisha nini
daah kiongozi umechagua kusimama kambi ya upinzan😳umenikwaza kiongoziSimu ya mkeo achana nayo brooo!!!
Mie nakuepusha na sonono mzeya. Hamna mke hagegedwi brooo!!!daah kiongozi umechagua kusimama kwa wapinzan😳umenikwaza kiongozi
Kama line imesajiriwa kwa jina lake Yes ana haki ya faragha 100% ni simu yake na password ni mali yakeWakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba.
Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo?
Kuna ustawi wa familia kweli hapo?
eti wakuu😳?
Mi nimekwazika kwa kweli
Labella
Mahondaw
financial services
Joanah