Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Njoo ukule ugali[emoji24][emoji24]
Huruma yako aliila Nani..?
Mbona umetokwa na jishipa la huruma..?
Nikubalie Basi walau hata Leo na Mimi Nile wali...
Haahahaaa yeah hasa kama ulivutiwa na show inatia moyo kidogo 😝😝[emoji3][emoji3][emoji3] Ndiyondiyo na ingekua kidogo watu mmeonana na kunyanduana kiasi fulani kuvumiliana kungekuepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah pole sanaPm ya mwisho ilikua Feb..
Nilimwambia nimekumiss sikuoni jukwaani..Akasema Kamiss dada zako
😧😧😴😴
Mmmmmmmhhhhhhh [emoji16][emoji16]Haahahaaa yeah hasa kama ulivutiwa na show inatia moyo kidogo [emoji13][emoji13]
Ungeweka profile pic ya mkaka sharobaro, na michango yako iwe ya hela hela tu, wee ungekimbia mwenyewe si wakaka si wadada.Hongereni sana ambao pm zenu zinafanya kazi wengine toka tufungue account miaka sasa zipo vile vile Kama tulivyokabidhiwa account na jf hata salamu tu kutoka kwa moderators hakuna[emoji848][emoji848]
Hahaa ni huyo tu, sio wote. Hataki kumisiwa labdaHamna huruma
Vipi tenaMmmmmmmhhhhhhh [emoji16][emoji16]
Yanini nifanye kitu ambacho sipo interested nacho mkuuUngeweka profile pic ya mkaka sharobaro, na michango yako iwe ya hela hela tu, wee ungekimbia mwenyewe si wakaka si wadada.
Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Hivi kuna wadada wanawafata wakaka PM?Ungeweka profile pic ya mkaka sharobaro, na michango yako iwe ya hela hela tu, wee ungekimbia mwenyewe si wakaka si wadada.
Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Nikubalie kwanza 😉
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haohao nitajie hata wawili nilale nao mbele..Wote wapo chini ya maika 10.
Wengi nilionao ni wa humu humu ambao hunifosi niwaite dada
Kusema ule ukweli toka ndani ya mtima kuna kifaa hua nakielewa humu ndani dada angu😂😂 Ila hyo ya kukifata PM hahahaa, ndo sijawahi waza.Wewe utakuwa hujawahi kuielewa kifaa mdogo wangu..!! 😂 😂
Hahaa.!!ni watoro🤣,mimi katika vitu nimeshindwa kwenye maisha ni kumkurupukia mwanamke,na nimegundua sisi tunao balance shobo huwa mnatukubali, mnatoa namba wenyewe
Pm ya mwisho ilikua Feb..
Nilimwambia nimekumiss sikuoni jukwaani..Akasema Kamiss dada zako
[emoji47][emoji47][emoji42][emoji42]
Haha.!Daaaa mimi nilishasahau hata kama jf kuna pm.... ..
Ngoja nijaribu leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote kheri mkuu..!!Haikumaanisha sijaridhika mkuu nadhani umenielewa vibaya nilimaanisha kwamba kumbe kuna watu ambao pm zinaflow kama customer care wakat wengine tupo humu kwa ajili ya kupata habari tu. Anyway hongera sana mkuu kuwa na hot pm
'mashairi ya cheka cheka'Mi sitanii ndo nakutongoza! Ole wako unikatae mbele ya hadhira nitajinyonga kwa kamba ya mpira!..