Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hongereni sana ambao pm zenu zinafanya kazi wengine toka tufungue account miaka sasa zipo vile vile Kama tulivyokabidhiwa account na jf hata salamu tu kutoka kwa moderators hakuna[emoji848][emoji848]
Ungeweka profile pic ya mkaka sharobaro, na michango yako iwe ya hela hela tu, wee ungekimbia mwenyewe si wakaka si wadada.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Pm ya mwisho ilikua Feb..
Nilimwambia nimekumiss sikuoni jukwaani..Akasema Kamiss dada zako
[emoji47][emoji47][emoji42][emoji42]

wanawake wakati mwingine ni vigumu kuwaelewa, kuna siku jamaa fulani job nimempa namba ya mfanyakazi mwenzetu wa kike maana aliiomba kwa sababu ana shida ya haraka
basi jamaa akampigia huyo mwanamke akamsalimia na kumwambia “samahani naomba namba ya fulani” yule mwanamke akajibu “nani kakupa namba yangu”


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom