Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Kusema ule ukweli toka ndani ya mtima kuna kifaa hua nakielewa humu ndani dada anguπŸ˜‚πŸ˜‚ Ila hyo ya kukifata PM hahahaa, ndo sijawahi waza.
Hua namuombea tu kimoyomoyo siku akanyage mdudu ajikute piemuni mwanguπŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa hapa mdogo wangu si itabidi tufunge na kuomba siku 40 ila huu muujiza utendeke?
 
Kusema ule ukweli toka ndani ya mtima kuna kifaa hua nakielewa humu ndani dada angu[emoji23][emoji23] Ila hyo ya kukifata PM hahahaa, ndo sijawahi waza.
Hua namuombea tu kimoyomoyo siku akanyage mdudu ajikute piemuni mwangu[emoji23][emoji23]

ewe ki smart nidondokee mimi[emoji1374]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ majibu yangu ya ndiyo hapana.. short and clear .. yalimchosha mtu yeye alikuwa anataka akiuliza swali nijielezee..khaaa!!..akanichunia mazima hadi jukwaani akanilia buyu 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…