Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ majibu yangu ya ndiyo hapana.. short and clear .. yalimchosha mtu yeye alikuwa anataka akiuliza swali nijielezee..khaaa!!..akanichunia mazima hadi jukwaani akanilia buyu 🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakwetu sitaki kucheka, zile za 'tell me bout yourself'..!!?
 
Wangejua ulivyo mrembo wangejutia hilo vumbi [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ majibu yangu ya ndiyo hapana.. short and clear .. yalimchosha mtu yeye alikuwa anataka akiuliza swali nijielezee..khaaa!!..akanichunia mazima hadi jukwaani akanilia buyu 🀣🀣🀣🀣
Itakua kilimuuma sana, hadi kukuwekea bifu hahaa
Ila sasa kwa style hyo atachunia wangapi lakini
 
[emoji23][emoji23][emoji23] majibu yangu ya ndiyo hapana.. short and clear .. yalimchosha mtu yeye alikuwa anataka akiuliza swali nijielezee..khaaa!!..akanichunia mazima hadi jukwaani akanilia buyu 🀣🀣🀣🀣

yupo kama mimi ,sipendi hayo majibu, yani mwanaume mzima niandike angalau maneno 10 afu nijibiwe NDIO kama nitatuma tena texts basi hiyo siku polepole anakuwa mwenyekiti wa CCM


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema ule ukweli toka ndani ya mtima kuna kifaa hua nakielewa humu ndani dada angu[emoji23][emoji23] Ila hyo ya kukifata PM hahahaa, ndo sijawahi waza.
Hua namuombea tu kimoyomoyo siku akanyage mdudu ajikute piemuni mwangu[emoji23][emoji23]
Anaweza Kanyaga mwiba na kuishia kusonya [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naogopa kujipendekeza au Kulazimisha mawasiliaono.
Nikishaona unajibu text kwa Maneno mawili hata kama nilikupa status gani, naanza kukuita mkuu au kiongoziπŸ˜€πŸ˜€
 
Siku zote naamini kama mwanamke yupo serious hata pm yake ikiwa na watu elf na ushee haitokuwa na madhara yoyote but kama ndo ile tunaita kutafuta unachokosa hapo sasa ndo itakuwa shughuli kama hiziπŸ˜‚πŸ˜‚
Hell yeah'..!!
Mwisho wa siku maisha lazima yaendelee.!!.
Usichukulie hata siku moja maisha ya JF seriously.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…