Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Poa kiongozi, habari ya weweMambo mrembo..??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa kiongozi, habari ya weweMambo mrembo..??
Haha.
Fursa unazitumia lakini rafiki.!?
Amini tu,huu ndo ule muujiza uliokuwa ukiusubiri toka uingie dunia hii!!.Looh siamini
Ndo napiga tizi hapa nione kama ntapata nguvu za kuingia PM kwake[emoji23][emoji23]
Ikishindikana basi ntasubiri muujiza tu
Mimi ni buheri wa afya na mahususi kwa ajili yako binti malkia..😉Poa kiongozi, habari ya wewe
😂😂😂 sis em kuja pande hii fastaa CarleenAmini tu,huu ndo ule muujiza uliokuwa ukiusubiri toka uingie dunia hii!!.
Muujiza ambao utakukosha na kukuhusudu binti mrembo,usitie pengo pasipo haja! Nimepewa ridhaa ya kukutwaa na kukufanya mhimili wa mahaba utakaolindimisha huba langu.
Hii fursa nzuri, ila me napenda mtu anianze yeye bana. Ndo naskiaga raha et🤗
[emoji86]Mnapashana habar jinsi mnavyojibu shit watu mpaka wanakimbia[emoji38]...Next time Mnakuja na ID Mpya mnatafuta Mwenza..Inafikilisha unajua [emoji2]
Hili jibu zuri SanaUkiandika Single Mama pm utaachiwa vumbi hutoamini.
[emoji86]
Tumuulize ndege ni mtego gani mrahisi tumkamate sio?Zile mbinu zinasaidia sana sana.. Hujui tu.
Uliza hata wanawake wanakubali hizo mbinu
[emoji23]Nimekuja tuyajenge! Nikuite sweetie uniite nanilii..
Utachagua mwenyewe sijui mume! Utajua
Ila mi nataka nikufanye uwe yule wanaesemaga kitanda hakizai haramu[emoji6]
Vumbi lanini..?😂😂😂 sis em kuja pande hii fastaa Carleen
Wacha kabisaa.Haha.!
Halafu ndiyo unakuta mtu na heshima zako, hivii tutaambia nini watu??
Mwingine huyu amekuambia una kipaji[emoji15]
Kipaji ipi hebu nisaidie kukitambua maana wahenga walinena nyani haoni kundule[emoji28]