Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

yupo kama mimi ,sipendi hayo majibu, yani mwanaume mzima niandike angalau maneno 10 afu nijibiwe NDIO kama nitatuma tena texts basi hiyo siku polepole anakuwa mwenyekiti wa CCM


Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahh Mkuu hii Ninay kwenye real life afadhali humu mitandaoni. Hayo Majibu siyawezagi kabisaa
Siku Natoka Mbuyuni naelekea Morocco Sheri pale Kama Saa tan night
Nikakutana na mdada Service road , Nikamsalimia kimya hajibu Mara ya pili kimya [emoji1]. Nikamwambia Vipi unaelekea wapi tupeane company ? Imagine tuko wawili tuu road ilikua nyeupe.Akageuka gafra akaniambia Ningetaka company ningekuambia nikarudi nyuma nikamwambia Am Sorry. Sijui Ali feel guilty mwenyewe nashangaa kahamia upande Wang yuk mbele [emoji38][emoji38][emoji38]nikamuongelesha tena this time was [emoji106][emoji106]
Mambo ya kukomaa na Majibu ya moto anaweza huyu mwamba Hazard CFC [emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom