Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Ila sis hii si ndo ile wazungu wanaitaga "Naked truth" auKama ulikuwa umetulizana, wasiwasi unakuwa huna, sasa bahati mbaya ukuwe kiruka njia! Unahisi kila kisemwacho chako.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila sis hii si ndo ile wazungu wanaitaga "Naked truth" auKama ulikuwa umetulizana, wasiwasi unakuwa huna, sasa bahati mbaya ukuwe kiruka njia! Unahisi kila kisemwacho chako.!
Usibanduke hadi kieleweke, fursa ndo hizi unajua😂[emoji16]ngoja nisubiri hatma yangu hapa,leo huu uzi sibanduki kabisaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawajua binadamu wanaoitwa wahindi?
Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
Usibanduke hadi kieleweke, fursa ndo hizi unajua[emoji23]
Hayo majina mengine nimeyaweka maalumu kumuita mtu ninayempenda..Ila mkuu na kiongozi ndio za watu wa kawaida.
Hua naanza pm Mambo kiongozi.?
[emoji16][emoji16][emoji16]
Ndo napiga tizi hapa nione kama ntapata nguvu za kuingia PM kwake😂😂hahaha🤣🤣🤣 lakini na wewe ichangamkie ile fursa ya yule msela ulosema unamuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa
Hahahahh Mkuu hii Ninay kwenye real life afadhali humu mitandaoni. Hayo Majibu siyawezagi kabisaayupo kama mimi ,sipendi hayo majibu, yani mwanaume mzima niandike angalau maneno 10 afu nijibiwe NDIO kama nitatuma tena texts basi hiyo siku polepole anakuwa mwenyekiti wa CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unawadanganya wenzio ili wawe gume gume kama wewe sio
Ni hio hapo juuHaha..!
Kama mbwai wacha iwe mbwai, kwani iko nini.??
Nishapata baraka za kaka..Anza na Lennie
Looh siaminiNishapata baraka za kaka..
Nikachukue mchuchu Mimi maisha yenyewe mafupi haya😜
Mambo mrembo..??Hahahahaaa
Dada Shadeeya kanifundisha etii.!!
Nitakwambia my sis, najua utanipa somo zuri likaniepusha nisiingie sehem hatarishiUniambie kule mdogo wangu, naweza kukupa mawili matatu, mwenzio dadako nyani mzee, nishakwepa mishale mingi.!