Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Looh siamini
Amini tu,huu ndo ule muujiza uliokuwa ukiusubiri toka uingie dunia hii!!.
Muujiza ambao utakukosha na kukuhusudu binti mrembo,usitie pengo pasipo haja! Nimepewa ridhaa ya kukutwaa na kukufanya mhimili wa mahaba utakaolindimisha huba langu.
 
😂😂😂 sis em kuja pande hii fastaa Carleen
Vumbi lanini..?
Mbona unataka kunijazia watu..??
Haya ni mambo ya wawili na humalizwa kwa uwili!
Unataka kutia ndimu kwenye asali utakosa utamu!

Kaka yako wa hiari kanirithisha mali..
Niwe wako wa hiari niachane na kina mwajuma shomari😉
Usiitapakaze bahati lawama,ukaja vunja kioo kwa kuchutama..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…