Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Wewe unajuaje
Namjua mhusika ni mtu wa aina gani

Kuna girlfriend
Alikuwa na utoto wa kuuchuna na mimi nikawa namlia buyu

Baada ya muda anakuuliza tena kwanni umemlia buyu
Yeye alitegemea akila buyu nitamlambalamba
Anasahau kwamba alianza yeye kula buyu

kush and Wisdom
 
Oohh sawa
 
Sure hako ka msemo ndiko umekatumia sababu kila kitu umetumia.

Siku nyingine hata uwe unatutaarifu hata wachache.

Nilikariri avatar bado nayo ndio vile tena ukatupilia kule.

Nimefurahi sana kukuona.
Jamani Kichwa Kichafu avatar sikubadili bwaana.! Enwei, I'm happy we're here again.!!

Aluta continua, tupo pamoja kama 5 na ngumi..!!
 
Back
Top Bottom