Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia hapa. Kuna wanaokua wastaarabu pia, hadi unajikuta unaenjoy conversation na mwisho wa siku mnakua marafiki wazuri tu.Nakuelewa,
Huwa naamini hivyo pia, si kila anayekuja anakuja kwa nia ovu.! Watu wazuri wapo hivyo na wabaya pia.!!
HahaHaha,
What do you think??
Better than that I can say.!!
Uliwakubalia walicho taka?Sio unaraumu tu!Hi guys,
Nimekumbuka hii ujinga Leo nikaishia kucheka.! Kuna wale watu huwa wanakuja PM kwa mbwembwe kibao, mrembo mrembo nyingi mara mtoto mzuri, (wanadanganyika na avatar obviously) lakini vile huja kupotea ndo wanashangaza na jukwaani unawaona unaishia tu kucheka hiiii'...!!
Huyu wa kwanza alikuja mbwembwe kibao, akauliza umri nikajibu 41, hajawahi kurudi na hata hiyo PM hakujibu, akajionea tu hii kikongwe nimetokana nayo wapi? akatoka ndukii akaniachia mpaka vumbi walaqhi'..!!
Huyu mwingine naye kaja na mbwembwe kama ngombea wa uenyekiti wa Vicoba, akataka kujua nipo wapi, nikamtajia kijiji ambacho hakipo hata kwenye ramani ya Tanzania, akajibu tu 'I thought upo dar nikutafute, nice day', akanipotezea mazima, nikaona ile namna wa mikoani hutengwa waziwazi, hahaa.!!
Huyu mwingine naye eti akaniongelesha busara siku mbili tatu,story za hapa na pale, baadaye akataka kujua nafanya kazi gani, nikamjibu mkulima, I swear mpaka Leo akanipotezea na ile PM hakujibu na huku jukwaani tunakutana zetu kiroho safi,
Hivyo kila nikionaga ID ya miminimkulimaakachekasana naishiaga tu kucheka, huwa natamani iwe 'miminimkulimaetiakanichunia'..!
Hivii huwa mnakutana nahizi sarakasi ama hizi ni kwa ajili yetu tu sisi wabarikiwa?
#nohardfeelings# tupunguze tu stress za corona,
Stay safe guys..!!
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] awww thanks for the compliment my dear sister, mbona siamini jamani.Naipenda sana.!
you're so smart.!!
Sure, they should. It works, as it worked fro me.Hahaha..!
Mkuu una mbinu walaqhi'.! Naomba waige mfano wako.!!
Nisomee saa huko kwenu.[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] awww thanks for the compliment my dear sister, mbona siamini jamani.
Kwa nini huamini Carl, ndio hivyo sijui nibadilishe approach au nifanyaje!!Mr. Eli,
Sijui kwanini nimekataa kuamini hili..!!
Tunaonekana washamba eti[emoji28] [emoji28]
Iko namna kwa watu wa mikoani sijui kwanini.!!
Na vile tumeumbwa dhaifu juu yenu tutawapokea tuu....ila atakaekupokea anaweza kua sio mtu sahihiKuja lazima tuje mkuu na lazima mtupokee kwa mababaiko.!!
'strength of woman'..!!
BaridaZote hizo ni mbinu tu mkuu, cha msingi lengo lifikiwe.!
Pigania unachokiamini.!
1216HRS EATNisomee saa huko kwenu.
Naruhusiwa kukufuata PM ?1216HRS EAT
Nashukuru kwa kunielewa carleeenNakuelewa,
Huwa naamini hivyo pia, si kila anayekuja anakuja kwa nia ovu.! Watu wazuri wapo hivyo na wabaya pia.!!
Teh mkuu siyo wewe uliyesema mwanamke wa JF kumfuata pm ni hadi ukuwe na mazoea naye jukwaani, sasa mbona mimi sikumbuki kama tuna mazoea eti jamani.Naruhusiwa kukufuata PM ?
Sasa hao wanaotaka wafuatwe na wanaowataka, wanajuaje anayemkataa sio yule anayemtaka, wakati kuna multiple IDs?Baada ya kupitia comments zilizotangulia,
Nimegundua sio kuwa wadada hawataki pm, bali kuna pm za watu wangewish wazipate ila hawaji, au wakija sio kama walivyotegemea, na wengine wanaoenda pm wanatumia wrong approach,
Basi wanaume wazangu tumieni approach nzuri, na ukikataliwa pm usimtukane, chill na yaishie hukohuko,
Kwa wadada wale mnaowish wawafuate pm na hawaji, basi tumieni ile ladies first
ID yangu ni hii hii. Nataka kuja ili nifanye research juu ya mbinu nyingine na nije kutoa ushuhuda hapa juu ya majibu ntakayopewa katika kuchangia uzi Kama unavyohitaji.Teh mkuu siyo wewe uliyesema mwanamke wa JF kumfuata pm ni hadi ukuwe na mazoea naye jukwaani, sasa mbona mimi sikumbuki kama tuna mazoea eti jamani.
Au id yako nyingine ni ipi kwani ??
Hawa watu wanajua kuobserve na sense si kawaidaSasa hao wanaotaka wafuatwe na wanaowataka, wanajuaje anayemkataa sio yule anayemtaka, wakati kuna multiple IDs?
MmhhID yangu ni hii hii. Nataka kuja ili nifanye research juu ya mbinu nyingine na nije kutoa ushuhuda hapa juu ya majibu ntakayopewa katika kuchangia uzi Kama unavyohitaji.