Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Kwa nini huamini Carl, ndio hivyo sijui nibadilishe approach au nifanyaje!!
Hapana, kuna watu huwa wana heshima zao tu hivyo ni ngumu sana wachuniwe, labda kama approach yako ilikuwa tofauti na matarajio ya mlengwa..
 
Back
Top Bottom