DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Mfano Mimi ukinichunia utajipa taabu sana. Maana mtihani wa kubembeleza nilipata zero kama BashiteUsitu zoom tu wewe hujawahi chuniwa.??
Kulikoni ?Mmhh
[emoji23][emoji23] eti shem! Sis Carleen achana nae huyo kagoma kutoa mahari. Hayuko serious et
Sasa hauoni kuwa unakuwa umempunguzia mzigo huyo aliyekuchunia ??Mfano Mimi ukinichunia utajipa taabu sana. Maana mtihani wa kubembeleza nilipata zero kama Bashite
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuvuja kwa Pakacha...Sasa hauoni kuwa unakuwa umempunguzia mzigo huyo aliyekuchunia ??
Nafuu kwa mchukuzi
Kuna ile mtu anakuchunia ili uanze kumpeti petiSasa hauoni kuwa unakuwa umempunguzia mzigo huyo aliyekuchunia ??
Haha.
Ninyi mnapambana mpaka tone la mwisho la uvumilivu eeh'..?
Wewe unajuaje
shem ndugu yako hayupo nyumbani leo so nimekosa na usingizi😁Ulale Shem..!!
Namjua mhusika ni mtu wa aina ganiWewe unajuaje
Oohh sawaNamjua mhusika ni mtu wa aina gani
Kuna girlfriend
Alikuwa na utoto wa kuuchuna na mimi nikawa namlia buyu
Baada ya muda anakuuliza tena kwanni umemlia buyu
Yeye alitegemea akila buyu nitamlambalamba
Anasahau kwamba alianza yeye kula buyu
kush and Wisdom
Jamani Kichwa Kichafu avatar sikubadili bwaana.! Enwei, I'm happy we're here again.!!Sure hako ka msemo ndiko umekatumia sababu kila kitu umetumia.
Siku nyingine hata uwe unatutaarifu hata wachache.
Nilikariri avatar bado nayo ndio vile tena ukatupilia kule.
Nimefurahi sana kukuona.
Hahaha..😂😂 eti shem! Sis Carleen achana nae huyo kagoma kutoa mahari. Hayuko serious et