Hahahaa yaan wewe🥰pesa zitapita lakini penzi letu litaishi milele
Hadharani hivi, hapana sio vizuribabay mama emu itaje basi😍
Ushawai kufikiri labda Huyo Mungu ndo alikuletea huyo mtu sahihi na ukamtimua kwa majibu ovyo?tutamtanguliza Mungu hivyo naamini tutapata mtu sahihi.!!
haya nakuja PM honeyHadharani hivi, hapana sio vizuri
😂huwa najikuta poet na mimiHahahaa yaan wewe
Nakuzoom tu😁😂huwa najikuta poet na mimi
Utayajua tu kama utakubali kutoa mzigoKula tena??
Hayo siyajui Mr. Von..!!
huku unasema HIII BHAGOOSHAA!!!!! (kwa sauti ya mkuu)🤣Nakuzoom tu😁
Wewe ni kijana mzuri, endelea na moyo huo huo mkuu.!!
[emoji85][emoji85] thanks[emoji7] [emoji7]
Amini mama angu, huo ndiyo muujiza..!!
😂😂😂.....Hapo ninasepa bila hata kuaga
Hebu tueleze ni kwanini?[emoji23][emoji23][emoji23].....Hapo ninasepa bila hata kuaga
Kuna wadau wangu walifika huko walirudi na story za kuvunja moyo tu
Kwamba?Kuna wadau wangu walifika huko walirudi na story za kuvunja moyo tu
Ni remote sana, usafiri wa kwenda huko ukifika lazima utafute pain killer kwanza.......alafu naskia kumepoa kinoma
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hongereni sana ambao pm zenu zinafanya kazi wengine toka tufungue account miaka sasa zipo vile vile Kama tulivyokabidhiwa account na jf hata salamu tu kutoka kwa moderators hakuna[emoji848][emoji848]