Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa si unaomba akupunguzie japo miaka. Unajua mtu akiwa na uhitaji, ukiongea nae vzuri anaweza kulegeza masharti[emoji23][emoji23]
Basi fresh, naamini hamna kitakacholeta ugumu. Tutaishi kwa raha mustareheee
Unataka kuniangusha sasa. Mwambie tunajua kuimba na kutunga hayo makitu. Halafu siku ikifika ndio pa chimbikeUkisikia mtihani sasa hili ndio JITIHANI!!
Hichi kibarua chako nishakipoteza.. uimbaji nami wapi na wapi tena gospel!!
[emoji125]
Si umesema hujui kukitumia kipaji chako..Ukisikia mtihani sasa hili ndio JITIHANI!!
Hichi kibarua chako nishakipoteza.. uimbaji nami wapi na wapi tena gospel!!
[emoji125]
Hahaa hapo sasa, iwa lazima tu watakuwepo wa size yako bana. Kule wamejaaanaweza kupunguza ndio afu tunafika kwenye ndoa akaanza kutegemea niishi nae kizee[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaimba hadi kaswida. Hakuna kukimbiaMkuu chukua hii tenda ya kuimba gospel..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka kuniangusha sasa. Mwambie tunajua kuimba na kutunga hayo makitu. Halafu siku ikifika ndio pa chimbike
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimekupa weweMkuu chukua hii tenda ya kuimba gospel..
😂😂Unataka kuniangusha sasa. Mwambie tunajua kuimba na kutunga hayo makitu. Halafu siku ikifika ndio pa chimbike
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hatujamaliza kuzungumza[emoji23][emoji23]
Unataka nikaaibike mbele ya hadhira..?
Bora angesema utunzi wa vitabu kidogo naona kitu ninachokiweza naweza hata dokoa dokoa
Sijawahi kutunga wimbo,sijui upangiliaji sijui midudedude ya utunzi yahusuyo muziki!
Kwa jinsi nilivyokuona naona unaweza kabisa..Sijawahi kutunga wimbo,sijui upangiliaji sijui midudedude ya utunzi yahusuyo muziki!
Naona umezamilia kuramba garasha[emoji23][emoji23]
Vp ww. Mwanamke akikuuliza unajua kuuendesha ndege mwambie ndiooo. Hapo utakapo pewa ndege sijui itakuwaje?Sijawahi kutunga wimbo,sijui upangiliaji sijui midudedude ya utunzi yahusuyo muziki!
Naona umezamilia kuramba garasha[emoji23][emoji23]
Hahaa hapo sasa, iwa lazima tu watakuwepo wa size yako bana. Kule wamejaa
Niko mbele zako kondoo wa bwana tayari kwa kuchinjwa sina usemi..😜😂Kwa jinsi nilivyokuona naona unaweza kabisa..
Kuhusu mpangio isikupe tabu...
Ngoja tumalize hili la nyimbo baadaye tutarudi kwenye mashairi na vitabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi fresh, naamini hamna kitakacholeta ugumu. Tutaishi kwa raha mustareheee