sjosh4
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 888
- 941
Safi bibieMimi huwa najibu ukweli wangu, sidanganyi wala simjibu mtu vibaya ILA sijibu kila PM.
Kuepuka kutoa hayo majibu ya makali au ya uongo huwa nachagua kutokujibu kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi bibieMimi huwa najibu ukweli wangu, sidanganyi wala simjibu mtu vibaya ILA sijibu kila PM.
Kuepuka kutoa hayo majibu ya makali au ya uongo huwa nachagua kutokujibu kabisa.
Kama Nina Nia ya kukutongoza nakuja directly TU Kama Sina ndio hapo braa braa nyingi TU tupige story siku ziende na s kila anaekuja pm anataka akugegede wengne hupenda muunge urafiki na kushaurianaHi guys,
Nimekumbuka hii ujinga Leo nikaishia kucheka.! Kuna wale watu huwa wanakuja PM kwa mbwembwe kibao, mrembo mrembo nyingi mara mtoto mzuri, (wanadanganyika na avatar obviously) lakini vile huja kupotea ndo wanashangaza na jukwaani unawaona unaishia tu kucheka hiiii'...!!
Huyu wa kwanza alikuja mbwembwe kibao, akauliza umri nikajibu 41, hajawahi kurudi na hata hiyo PM hakujibu, akajionea tu hii kikongwe nimetokana nayo wapi? akatoka ndukii akaniachia mpaka vumbi walaqhi'..!!
Huyu mwingine naye kaja na mbwembwe kama ngombea wa uenyekiti wa Vicoba, akataka kujua nipo wapi, nikamtajia kijiji ambacho hakipo hata kwenye ramani ya Tanzania, akajibu tu 'I thought upo dar nikutafute, nice day', akanipotezea mazima, nikaona ile namna wa mikoani hutengwa waziwazi, hahaa.!!
Huyu mwingine naye eti akaniongelesha busara siku mbili tatu,story za hapa na pale, baadaye akataka kujua nafanya kazi gani, nikamjibu mkulima, I swear mpaka Leo akanipotezea na ile PM hakujibu na huku jukwaani tunakutana zetu kiroho safi,
Hivyo kila nikionaga ID ya miminimkulimaakachekasana naishiaga tu kucheka, huwa natamani iwe 'miminimkulimaetiakanichunia'..!
Hivii huwa mnakutana nahizi sarakasi ama hizi ni kwa ajili yetu tu sisi wabarikiwa?
#nohardfeelings# tupunguze tu stress za corona,
Stay safe guys..!!
Nilikuwa nakutafuta sana.Kichwa Kichafu ulisema nirudi shule utanilipia ada, mbona kimya.??
My dearNgoja kwanza nimuombe Mungu anionyeshe kama wewe ni the one!!
Haha,Nilikuwa nakutafuta sana.
Waswahili wanasema kama ni sheikh basi alibadiri rangi ya kanzu watu wakampotea.
Sure nilikutafuta mno.
Mpango upo pale pale ni wewe tu mama.
dada naomba kukuambia kuwa hapa nimesharinga na kunata and indeed you're the reason, kesho kama hata nitakusalimia sijui.!Hahahahaa. Marhabaaaa nimeipokea shikamoo yako mdogo. 🙈🙈🙈
Kama mimi tu mdogo wangu wajua vile nakupendaga pia. 😍
Nakuelewa,Kama Nina Nia ya kukutongoza nakuja directly TU Kama Sina ndio hapo braa braa nyingi TU tupige story siku ziende na s kila anaekuja pm anataka akugegede wengne hupenda muunge urafiki na kushauriana
Sasa mwingne akiombwa namba anajua atatekwa au kukegedwa
kilicho akilini kitumie
Absolutely,Baada ya kupitia comments zilizotangulia,
Nimegundua sio kuwa wadada hawataki pm, bali kuna pm za watu wangewish wazipate ila hawaji, au wakija sio kama walivyotegemea, na wengine wanaoenda pm wanatumia wrong approach,
Basi wanaume wazangu tumieni approach nzuri, na ukikataliwa pm usimtukane, chill na yaishie hukohuko,
Kwa wadada wale mnaowish wawafuate pm na hawaji, basi tumieni ile ladies first
Wafike salama waendako, mwisho wa siku maisha ni lazima yaende walaqhi'.!!...WENGINE PM ZETU TUNASHARE MAVITU YA KIBAHARIA ZAIDI (LINKS) WAJAUBA WANAELEWA HAHA ILA HATUHANGAIKI NA SKETI ZA HUKU
HAHAHA YANI MKIFATWA 80% WENGI WANATAKA PAPUCHI HIVYO MKIWAPA MAJIBU TOFAUTI NA MATARAJIO YAO LAZIMA WASEPE VUMILIENI TU
😂 😂 😂Mimi nilituma picha half body nikachuniwa. Sijui ni huu ufupi au kitambi [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha..!Bila shaka hao wanakuwa ni wageni. Unaanzaje tu out of nowhere kuingia PM ya mdada humu ? Kuna stages za kuingia PM ya mdada ili usikutane na kikwazo. Kwanza anza kulike comments zake, kucomment comments zake, kubaliana na hoja zake. Taratibu tu ataanza zoea jina lako. Siku hamishia moja ya mada mlizochangia wote PM, taratibu mnageuka washikaji.