Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Sasa nimuone mwanamke kacomment humu kamtimua jamaa halafu anatafuta mwenza/Mume mwema/Mwenye hofu ya Mungu wakati fursa mnazikimbiza wenyewe.....Nyambafuuu
Kuja lazima tuje mkuu na lazima mtupokee kwa mababaiko.!!

'strength of woman'..!!
 
Hakuna jibu la kunikatisha matumaini. Nikitaka kukupata lazima nikutafute kwa udi na uvumba

Ikiwezekana nakuambukiza corona halafu nakuja kukuuguza. Ukipona tu naweka mazingira ya kukupata kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app
Zote hizo ni mbinu tu mkuu, cha msingi lengo lifikiwe.!
Pigania unachokiamini.!
 
Ushaskia wasanii wa bongo miss carly
Anaweza asiongee kiingereza ila ile slang anayotumia kuongea kiswahili utajua huyu anakijua kiinglishi
Hahaha..!!
Mdogo wangu upo vizuri kwa sekta hii nitakujia unigaie mawii matatu dada yako nami niwe 'eksipati'..!!
 
Haha,
Kidizaini umeanza kunichocha, nimependa hako ka msemo ka waswahili.. Basii mwenzio nipo Jana, Leo na hata kesho.!!

Afadhali kama ka mpango bado ni endelevu.. Ngoja tu wafungue vyuo harakati zianze.!!
Sure hako ka msemo ndiko umekatumia sababu kila kitu umetumia.

Siku nyingine hata uwe unatutaarifu hata wachache.

Nilikariri avatar bado nayo ndio vile tena ukatupilia kule.

Nimefurahi sana kukuona.
 
Back
Top Bottom