Hivi ni Kukosa akili au ndo Utandawazi?

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Hivi sasa kumeibuka wimbi la Vijana na wanaume kuvaa Chupi ambazo wao wanaziita "VINJUNGA"

Hivi Vinjunga inapaswa uelewe mara zote zinakuwa hazizidiani sana na Boxer,yaani wewe fikiria mtu anavaa Kinjunga na anatembea bila wasiwasi mjini kote huko!

Ni kwamba huu uvaaji wa kipumbavu ni Usasa au ndiyo Utandawazi wa kisasa?,Hivi mwanaume au Kijana mwenye akili timamu unawezaje kuvaa Boxer na ukakatiza mitaani?,Kwanini kama unataka nguo fupi usinunue Bukta ukavaa?

Au uenda kuna biashara nyingine zinaendelea huko Mijini mimi niliyeko huku Tarime sielewi?

Unakuta mtu mzima kabisa mwenye familia yake na yeye anakatizq mitaani amevaa Kinjunga bila hata aibu!

Asieee hii mbona ni hatari!Mmetoka kwenye mitepesho hivi sasa mmeamia kwenye Vinjunga!

Kuna mmoja juzi moja nimemuona amekivaa kinjunga hadi nikaona aibu,Kwanza alikuwa kijana mwenye wowowo kama demu na alikuwa na mapaja makubwa kama mwanamke na amefuga Mandevu kama Rick Ross!,Yeye anatembea hana habari kabisa hadi kina mama watu wazima wanamwangalia namna alivyo fungasha wowowo!

Hii ni hatari sana!
 
Hiyo haijakaa poa
Hivi mwanaume ukivaa nguo nzuri za stara zisizobana unapata shida gani?
Dume unabana tako kwa ajili ya nani?
Tutubu dhambi labda hizi ndo nyakati za mwisho
 
ETI UNA VAA KINGUO KIFUPI, HALAFU UNAKATIZA MBELE YA WANAUME BILA AIBU.!!
BANDIKENI NA BEI ZENU ELEKEZI TUWE TUNAJUA MZIGO UNATOA KWA BEI GANI.

KIJANA UMENONA TAKO KAMA HUYU, ALAFU UNALETA ZA KULETA.
SISI WENYE MADUNGU TUPO TUTAWAINAMISHA KAMA DADA ZENU.
 

Attachments

  • Capture.PNG
    54.8 KB · Views: 4
Vijana wengi wa Dar Diara katoka golini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…