Hivi ni kwamba Watanzania hatuko busy sana au inakuwaje?, labda tuseme ni maendeleo ya Teknolojia kuliko nchi zingine

Watanzania ni watu wa hajabu mno, ni watu wasiopenda kufanya kazi, wao ni umbea tu na ndiyo maana wamejazana sana kwenye mitandao ya kijamii kutafuta umbea ili warudi vijiweni kudanganyana na kusukuma siku.
 
Uraibu wa mitandao umeathiri watanzania kwa kiasi kikubwa.Muda watoka wapi kushare ukiwa uko busy na productive projects?Huenda ubwetekaji ndiyo sababu.
 
Wengine mitandaoni ndio ofisini, sasa wewe iga ufe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…