Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Sandoz CityMji wa mawinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sandoz CityMji wa mawinga
Watanzania ni watu wa hajabu mno, ni watu wasiopenda kufanya kazi, wao ni umbea tu na ndiyo maana wamejazana sana kwenye mitandao ya kijamii kutafuta umbea ili warudi vijiweni kudanganyana na kusukuma siku.Wandugu Habarini,
Binafsi Kila Nikiamka Asubuhi Baada Ya Kumaliza Ratiba Za Kawaida Hua Naingia Kwenye Mitandao Mitatu Ya Kijamii Kwa Muda Wa Masaa Mawili. Hua Naanzia WhatsApp, Nakuja JamiiForums namalizia na Instagram.
Kwa Utaratibu Wangu Huu, Leo Nimeona Nishee Na Hadhara Hapa Juu Ya Hili Jambo Ambalo Mara Zote Naliona Hasa Instagram. Ukiingia Katika Akaunti Za Nje Ya Nchi, Iwe Za Binafsi Au Taasisi Fulani, Na Ukakuta Kuna Habari Ya Kumuhusu Mtanzania Au Tanzania Asee Utashangaa Hiyo Post Comments 90%+ Ni Kutoka Tanzania, Na Hapo Hapo Followers Wanaongezeka Kwa Fujo Hatari. Unaweza Dhani Labda Ni Akaunti Ya Mtanzania.
Je Hii Ni Nadharia Kwamba Watanzania Hatupo Bize Na Kazi Au Tumeendelea Sana Upande Wa Teknolojia Ya Habari Na Mawasiliano, Au Huduma Hiyo Kwetu Ni Bei Rahisi Kulinganisha Na Mataifa Mengine??
Nawasilisha kwa majadiliano na constructive criticism!!
Wengine mitandaoni ndio ofisini, sasa wewe iga ufe.Wandugu Habarini,