Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Kwahiyo ukaitafsiri kama ilivyo sio? Hao wanaopigwa viboko hadi kupoteza maisha au kupata ulemavu wa kidumu huwa wanajitakia sio?BIBLIA imeagiza wazi kabisa viboko riksa kwa mtoto.Biblia sio kitabu cha matango pori ni maagizo ya Mungu
Mathayo 23:13 inasema Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.
Acha kushabikia adhabu za wanyama zitumike kwa binadamu. Hata mnyama mwenyewe ana haki zake sio kumchapa tu kadri unavyojisikia.
Na ukiona mwalimu yeyote anayependa kuingia darasani na fimbo ni wazi kabisa ni mweupe kichwani maana anatumia fimbo kama kinga ya kuficha udhaifu wake.
Mwalimu anayejitambua nakujiamini kamwe huwezi kumkuta na fimbo darasani ama popote pale.