Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatz ujawah kuw mwalm uone kaz ya kumfany mtoto afaul ,skatai lakin %kubw vibok vnahtajik San at we bila vboko usngejua hesabu na Kama hukuchapwa na ukajua hesabu hongeraYaani nachukia sana mtu anayeamini katika viboko namuona kama hayupo sawa upstairs.
Viboko anachapwa mnyama sio binadamu. Adhabu yoyote yakuumiza mwili ni adhabu ya kikatili sana.
Viboko vingekuwa vinasaidia basi taifa hili lingeongoza kwa wasomi wa hali ya juu badala yake ni kinyume.
Kwanini hatujiulizi shule ama nchi ambazo ni marufuku kutumia viboko mbona ufaulu upo vizuri mno na ukimuweka na mtoto aliyesoma kwa viboko ni tofauti kabisa.
Tuache kushabikia viboko ni unyama na mtu kama wewe siku mwanao akicharazwa viboko ikatokea akafariki au kupata ulemavu wa kudumu utakuwa wa kwanza kutaka adhabu ikomeshwe mara moja.
BIBLIA imeagiza wazi kabisa viboko riksa kwa mtoto.Biblia sio kitabu cha matango pori ni maagizo ya Mungu
Mathayo 23:13 inasema Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.
Mwaka jana shule zilizoongoza matokeo ya darasa shule ya kwanza na ya pili kitaifa ilikuwa GRAIYAKI NA TWIBHOKI ZILIZOPO MKOA WA MARA WILAYA SERENGETI...MWAKA HUU TWIBHOKI YA TATU NA GRAIYAKI YA TANO....hizi shule zinachapa balaaaaa.Uko sahihi kabisa mkuu. Mtoto wa Magufuli Jeremiah amesoma na mpwa wangu pale Feza Primary School Kawe hakuna adhabu ya viboko wala nini zaidi ukifanya kosa unapewa warning letter tu.
Mtoto wa Kikwete hadi sasa ninapoongea yupo shule moja tena na huyu mpwa wangu hakuna adhabu ya viboko na shule hizo ndo zinaongoza kitaifa.
Sisi waAfrika sijui tuna matatizo gani wakati wakubwa wao hawataki watoto wao wachapwe sisi tunashangilia watoto wetu ndo wachapwe.
Inamaana shule kama IST ambapo hawachapi watoto hawafaulu wala hawajui kuhesabu?Tatz ujawah kuw mwalm uone kaz ya kumfany mtoto afaul ,skatai lakin %kubw vibok vnahtajik San at we bila vboko usngejua hesabu na Kama hukuchapwa na ukajua hesabu hongera
Inamaana shule kama IST ambapo hawachapi watoto hawafaulu wala hawajui kuhesabu?
😂😂😂😂😂Wanachapwa kimya kimya kwa English tu
Mkuu huwenda wanajua hata huko kulia kwa kingereza iiiiHata wakiwachapa ..wataliaje kwa kingeleza??? Waanze kuwafundisha kulia kwa kizungu kwanza
Mungu akusamehe hujui utendalo.MAVIBOKO = DEFENSE MECHANISMS YA WALIMU WENYE MAPUNGUFU FULANI FULANI
I. HANA UWEZO NA SOMO ANALOFUNDISHA
ii. MVIVU KUTUMIA MAARIFA KTK UFUNDISHAJI.
Ndugu zangu chunguzeni MWALIMU MPENDA kuchapa hata masomo yake wanafunzi huwa hawafaulu kwa KIWANGO kikubwa kulinganisha na wasio endekeza MIFIMBO!
Povu ruhsa lakini huo ndo ukweli
Hakuwahi kunichapa kwa KIWANGO Cha kunivunja au kutaka kuniua mkuu.!Mungu akusamehe hujui utendalo.
Walimu=Wazazi
Wazazi=Mimi nawewe
Technically Mimi nawewe tunatumia defence mechanism kuficha mapungufu yetu.
Alokuzaa anakuchapa ukikosea sembuse Mwalimu? Kiri kwa kinywa chako kwamba umechochola [emoji1787][emoji1787]