Hivi ni kwanini hizi shule za English medium wanafunzi hawachapwi viboko?

Tatz ujawah kuw mwalm uone kaz ya kumfany mtoto afaul ,skatai lakin %kubw vibok vnahtajik San at we bila vboko usngejua hesabu na Kama hukuchapwa na ukajua hesabu hongera
 
Mkuu acha basi kunukuu kitabu kama hukijui.Mathayo haina maneno kama hayo.

Kwa ujumla umaskini ni janga kubwa sana na ndicho kinachouathiri uwezo wako wa kufikiri.
Sitabishana na mtu kama wewe.
Nimemaliza
BIBLIA imeagiza wazi kabisa viboko riksa kwa mtoto.Biblia sio kitabu cha matango pori ni maagizo ya Mungu

Mathayo 23:13 inasema Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.
 
Mwaka jana shule zilizoongoza matokeo ya darasa shule ya kwanza na ya pili kitaifa ilikuwa GRAIYAKI NA TWIBHOKI ZILIZOPO MKOA WA MARA WILAYA SERENGETI...MWAKA HUU TWIBHOKI YA TATU NA GRAIYAKI YA TANO....hizi shule zinachapa balaaaaa.
 
Tatz ujawah kuw mwalm uone kaz ya kumfany mtoto afaul ,skatai lakin %kubw vibok vnahtajik San at we bila vboko usngejua hesabu na Kama hukuchapwa na ukajua hesabu hongera
Inamaana shule kama IST ambapo hawachapi watoto hawafaulu wala hawajui kuhesabu?
 
Iyo kitu inawezekan ila kwa kizaz hiki watot weng ni wazembe bila kumchangamsha utampoteza ndugu amini labd advanc fimb zifutwe
Inamaana shule kama IST ambapo hawachapi watoto hawafaulu wala hawajui kuhesabu?
 
MAVIBOKO = DEFENSE MECHANISMS YA WALIMU WENYE MAPUNGUFU FULANI FULANI
I. HANA UWEZO NA SOMO ANALOFUNDISHA
ii. MVIVU KUTUMIA MAARIFA KTK UFUNDISHAJI.
Ndugu zangu chunguzeni MWALIMU MPENDA kuchapa hata masomo yake wanafunzi huwa hawafaulu kwa KIWANGO kikubwa kulinganisha na wasio endekeza MIFIMBO!
Povu ruhsa lakini huo ndo ukweli
 
Hata wakiwachapa ..wataliaje kwa kingeleza??? Waanze kuwafundisha kulia kwa kizungu kwanza
 
Mungu akusamehe hujui utendalo.

Walimu=Wazazi
Wazazi=Mimi nawewe
Technically Mimi nawewe tunatumia defence mechanism kuficha mapungufu yetu.

Alokuzaa anakuchapa ukikosea sembuse Mwalimu? Kiri kwa kinywa chako kwamba umechochola [emoji1787][emoji1787]
 
Hakuwahi kunichapa kwa KIWANGO Cha kunivunja au kutaka kuniua mkuu.!
NARUDIA MAFIMBO NA MAVIBOKO MENGI SI KUFUNZA!
 
Kayumba za Kiingereza mbona wanachapa. Tena wengine kuchapa ni kama aina fulani ya mbinu za ufundishaji. Yaani kabisa wanaamini bila adhabu ya viboko wanafunzi hawawezi kuelewa. Na wengine hupewa bonasi au huwekewa malengo kwa shule "kununua" 'A' kwa walimu wa masomo ("kila mwanafunzi atakayepata 'A' somo lako, tunakupatia sh. 100,000, kwa mfano). Mwalimu anapomwona mwanafunzi wa 'viwango vya kupata A' anatetereka kidogo, huona 'kilo' ileeee inapeperuka, hivyo hugeuka 'mbogo'. Adhabu ya fimbo itahusika sana hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…