Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

huku PRO kule ANTI basi hadi raha! ngoja nijinyamazie mie!
 
Mkuu wangu usisahau kuninukuu niliposema habari za kuzungumzia mambo ya familia inakuja kwa bahati mbaya sana, tena baada ya kutafunana vitumbua na kuzoeana. Sasa ndege akipotea hapo kuna cha kupoteza??

au twaweza sema nilakujiongezea ujiko kwa kanyumba kadogo baada ya kuona hakaeleweki si unajua nyumba ndogo inapenda kudanganywa danganywa ukisema ukweli unakosa huduma mpwa.
 
Najua mtu mzima mwenzangu....

Ndiyo maana kila siku nazidi kumwombe Smile aongeze hesabu ya Valentine alizokwishaona hapa duniani...

Babu DC!!
valentine nimezila nyingi tu ila sijawai kuenjoy hata moja. hata hii nimeona nijipeleke muhimbili mapema
nitailia muhimbili hii
 
The Boss kuja hapa!hii dhambi we si ndio bangusilo wao kwa ule MTAGUSO ULIOTOA kipind kile!wakumbushe wenzio ulisema sheria namba ngapi ibara ya ngapi kifungu cha ngapi kinasema nini kuhusu hii?
 
Last edited by a moderator:
uwwiiiiiii.......
mwanangu bado anyonya jamani
FP angalia mtoto asije akanyonya maziwa yaliyo ganda akahalisha hizi stress unazo toa huku mewata uwe unafikicha :becky:
 
Last edited by a moderator:
teh hivi si wewe shem uliniambia naniliu kuhusu mkeo? niseme? niweke ile pm hapa?


Naona hapa sasa wewe unatafuta laana....

Maneno ya watu wazima hayawekwagi kwenye file mdogo wangu Smile,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
eti babu kwenye gemu unadai utukaniwe bibi ndo unaenjoy
mtukane bibi,mtukane bibi
nalog offfffffffffffffffffffff
he he heeeeeeee, tena unaambiwa haya hata mke wangu sijawahi kumfanyia..... na wewe unavimba kichwa eti upo juu ya mke wake....... tangaza itolewe talaka ndo utajua nani zaidi, lol! kwa mke wake kupiga magoti na kuomba msamaha.....
 
he he heeeeeeee, tena unaambiwa haya hata mke wangu sijawahi kumfanyia..... na wewe unavimba kichwa eti upo juu ya mke wake....... tangaza itolewe talaka ndo utajua nani zaidi, lol! kwa mke wake kupiga magoti na kuomba msamaha.....
cc BAK
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Fidel80 mimi sina stress......
nachangia tu ukweli ninaojua....

[h=5]Vaa nguo zote upendeze lakini SANDA ndiyo fasheni ya mwisho;Tembea kote lakini KABURINI ndo matembezi ya mwisho, Panda gari,punda,meli,treni, ndege, ngamia, bajaji na pikipiki lakini JENEZA ndo gari la mwisho. Kusanya mali na mizigo mingi ya thamani, lakini UDONGO ni mzigo wako wa mwisho. Kifo ni cheo cha bure kwa wote. UVUNDO ndo marashi ya mwisho, KABURI ndo nyumba ya kudumu"[/h]
 
snowhite huu unahusika sana kuleta heshima kwa nyumba kubwa, wewe huna kweli mpango wa kati?

ngoja nikwambie fidel
mimi mpango wa kando wa kati wa pembeni sijui wa juu!uwepo usiwepo!
IM THE BIG BOSS!mpango wa kando ungekuwa wa maana noingekuwa kwa kmzee K sa hiz so wala haunipi presha mwaya!yani miaka 800 MI NDO JIKE LA NDANI YA NYUMBA YA MHESHIMIWA FULANI!watabaki kujiita part II tuu!AF MI BADO nakandamiza mwanzo mwisho mahabat kwa kwenda mbele!mbn atakuwa na kazi kwanza!
yeye ana taulo la guest na masaaa 2 mi nna masaa 24 na kanga za shingo!ahahhahahhahahahha BADO SANA! I SEE SANA!kwa hiyo wala sipati nao shida !
 
mmmh! kama sijaelewa vile......
 
Babu DC, kama hujawahi kcuhit usiusemee moyo

Watu wanajikuta wanaropoka tu

Mengine hata hawajui kwa nini wanaropoka

Chezeiya ukute kudumu kiko fit kichwani wewe?

Unajikuta huko ndio unatafuta masuluhisho ya baadhi ya matatizo

Hapa sasa naona unanifukuza jamvini kijanja,

Kwani haturuhusiwa kuongelea riwaya kwenye huu uzi??

Kidumu umejimuvuzisha nacho Melvedes (Bishanga anahusika hapa)

Mko kule kwa wiki 2, mtaacha kupiga story??

Wiki 2 na kidumu?? Ili iweje??

Anyway..umeshanizuia kuendelea kuchangia...ngoja nisepe!!

eti babu kwenye gemu unadai utukaniwe bibi ndo unaenjoy
mtukane bibi,mtukane bibi
nalog offfffffffffffffffffffff

Naomba ufanya haraka umwombe Mkuu wa hii dunia ya JF afue hii post haraka??

Yaani huyo ni Babu au msukule??


babu hajasema hajawahi kuchit ila kasema anakochit haongelei mambo ya home, either anazungumzia hadithi za kuku na bata au anacheza kidali po then anasepa......
si eti babu Dark City?
Kongosho yuko sahihi kabisa.....anao ushahidi wa kutosha kuhusu kile anachokisema...

Babu DC!!!
 
Last edited by a moderator:
he he heeeeeeee, tena unaambiwa haya hata mke wangu sijawahi kumfanyia..... na wewe unavimba kichwa eti upo juu ya mke wake....... tangaza itolewe talaka ndo utajua nani zaidi, lol! kwa mke wake kupiga magoti na kuomba msamaha.....
ahahaaaa
 
that's my baby sis........
ndo maana ukawa mdogo wangu, keep it up my dear..... hakuna wa zaidi yako
 

:becky::becky: hapo nimeelewa kumbe nyumba ndogo zinaisadia nyumba kubwa kutoa huduma ya PENZI tatizo ni muda na mahali tu , zidumu daima nyumba ndogo :clap2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…